The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,615
- 20,446
He kuna Nini tenaBetween poverty and bad wife who kills a man faster?...
He kuna Nini tenaBetween poverty and bad wife who kills a man faster?...
kwa kukushawishi utumie pesa vibaya.... umnunulie gari, ujenge kwao, utoe hela kwa ndugu zake....Asa mkeo anakupigaje mzinga
Haya unachepuka mkeo anaanza kukununia, ehee anakua hakujali tena unaasema ni bad wifemkuu nifafanulie hii falsafa yako
na je kama mwanamke ni bad spender akaharibu uchumi wa familia, huyo sio bad wife??Haya unachepuka mkeo anaanza kukununia, ehee anakua hakujali tena unaasema ni bad wife
Huachi hela ya matumizi mama J anaanza kua na visirani unasema una refer ni bad wife
Em.malizia mengine
Daah kwa hiyo sisi ni wauajiNajua haihusiani ila
Remember this it takes six men to carry a guy to his grave. It takes one woman to put him there


😂😂😂😂 hee na weww utakua mjinga labda una huo uwezo kwa karne hii inabidi mkeo akusaidie kiuchumi, mPlans na kuBuild togetherkwa kukushawishi utumie pesa vibaya.... umnunulie gari, ujenge kwao, utoe hela kwa ndugu zake....
kuna wanawake wanashawishi waume zao kuingia expenses kubwa, mfano kusomesha ndugu wa mwanamke.... mnayo convincing power 😂😂😂😂😂 hee na weww utakua mjinga labda una huo uwezo kwa karne hii inabidi mkeo akusaidie kiuchumi, mPlans na kuBuild together
Tafuta mwanamke atleast anajiweza hana vishida vidogovidogo mwaya
Bad spender unamtengeneza mwenyewe, ukiona she is overspending, expensiveyaani huezi mudu lifestyle yake achana nae tu for good wapo wanaoweza otherwise utarudi kwa hio ohrase Yakima kua ni bad wife cuz she is overspendingna je kama mwanamke ni bad spender akaharibu uchumi wa familia, huyo sio bad wife??
Sidhani kama ni kweli kuna wanawake wenye gubu na visirani tangu watoki kwao.Mkuu najua hujaoa, hamnaga bad wife , ubaya wa mwanamke unatengenezwa na mwanaume mwenyewe
I like this one.......women are so powerful over men's life can destroye your future and life within a second.Najua haihusiani ila
Remember this it takes six men to carry a guy to his grave. It takes one woman to put him there
Aah mkuu mtu haezi ibuka na kisirani na gubu bila sababu ya msingiSidhani kama ni kweli kuna wanawake wenye gubu na visirani tangu watoki kwao.
So mkuu babe wako ndo anakufanyia hivokwa kukushawishi utumie pesa vibaya.... umnunulie gari, ujenge kwao, utoe hela kwa ndugu zake....
Dada huenda hujaolewa bado kuna wanawake kupata afueni ni kurudi ucku ukute amalela na kudamka alfajir kabla hajachagamka na makasiriko yake na mdomo juu.Aah mkuu mtu haezi ibuka na kisirani na gubu bila sababu ya msingi
kuna mtu aliwahi nichapa sana hela😅 alinisababishia trauma sema by the time nilikua mjinga😂So mkuu babe wako ndo anakufanyia hivo
kuna mtu aliwahi nichapa sana helaalinisababishia trauma sema by the time nilikua mjinga
![]()



mkuu hiyo inaitwa welcome to city kakufundisha mjini vizuriNimeolewa tayari, mi siezi kua na gubu bila sababu za msingiDada huenda hujaolewa bado kuna wanawake kupata afueni ni kurudi ucku ukute amalela na kudamka alfajir kabla hajachagamka na makasiriko yake na mdomo juu.
Bad wife anamaanisha nagging wife.Poverty bro ..bad wife labda isiwe na utelezi tu
Anakushawishije na unaakili timamu,afu kununua gari sio kutumia pesa vibayakwa kukushawishi utumie pesa vibaya.... umnunulie gari, ujenge kwao, utoe hela kwa ndugu zake....
,acheni uogaHongera ila usiwatetee wanawake wengine hatari sana, unaweza ukakonda ndani ya wiki moja ukipate mwenye mdomo mzuri.Nimeolewa tayari, mi siezi kua na gubu bila sababu za msingi