Most dangerous things to man

Most dangerous things to man

Kamwe huwezi linganisha umasikini na mwanamke mkorofi.
Umasikini ni ukosefu wa mahitaji yote muhimu kwenye maisha yako.

Mke mkorofi utamkwepa lakini umasikini haukwepeki.

Umasikini utakuua haraka kuliko huyo bad wife.
na pia bad wife ana uwezekano mkubwa wa kukusababishia umaskini....
 
Kama wewe utaparamia bad wife na kumuacha wife material,
Wacha upukutike tu hamna namna[emoji23]

Nakazia umasikini ni mbaya kuliko huyo bad wife.

[emoji23][emoji23]Acha kukaza shingo mshamba_hachekwi.
bora kua single tu 😂
 
Mkuu, Vita ya UMASIKINI, ni vita kubwa kuliko ya nyuklia. kupambana nayo inahitaji Akili, Maarifa, Utulivu, Busara, Ibada, Bahati, Ubunifu, Kujituma, Nidhamu(Ya hali ya juu), Stress, kukataliwa, consistence na mengine kibao.

Umasikini una gharama za kupambana nao, kisha gharama za kuzuia usikurudie huku ukiendelea kupambana nao hadi unaingia kaburini.

Acha kuweka kundi moja UMASIKINI na vitu vya kipuuzi.

Be a Man.
Stay taliban.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom