Hahahahaaa subiri aje....Akili kubwazzz degree 3 zote za kuogelea n kupiga makasia
Hahahahaaa subiri aje....
Mzee wa downtown you know....
Jana nimeona post yake usiku instagram nimecheka sana.
cc Ruttashobolwa
Hahahahaaa subiri aje....
Mzee wa downtown you know....
Jana nimeona post yake usiku instagram nimecheka sana.
cc Ruttashobolwa
Etii..??Lemutuz ni punga
Na kunywa coffee double treeDegree 3 zote za kupiga mbizi
Hahahahaaaa huyo ni Bibi Cheka bila shaka.si akajiunge na yule bibi yuleee sijui anaitwa nani vile...kuna bibi mmoja hivi nishawai kuuona ana rap kinoma..huyo ndie age mate wake.
Daaah, maneno ya humu mtu unaweza kulia.Lemutuz bana...na le noha yake kuiandika le mutuz kwa maandishi ya kupinda pinda....ingekuwa vogue si angeiwekea tangazo pale fire kwenye bilboards?? Kweli ukubwa wa pua si wingi wa mafua...jamaa ana mwili mkubwa lakini akili ndogo.....aya block na uku......
Sio JF tuuu anamiliki mpaka instagram..
ahahah hatareeEti hajui bei ya luku we kiboko