Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Hahahahaaa subiri aje....
Mzee wa downtown you know....
Jana nimeona post yake usiku instagram nimecheka sana.
cc Ruttashobolwa
1454578900597.jpg
 
si akajiunge na yule bibi yuleee sijui anaitwa nani vile...kuna bibi mmoja hivi nishawai kuuona ana rap kinoma..huyo ndie age mate wake.
 
si akajiunge na yule bibi yuleee sijui anaitwa nani vile...kuna bibi mmoja hivi nishawai kuuona ana rap kinoma..huyo ndie age mate wake.
Hahahahaaaa huyo ni Bibi Cheka bila shaka.
Daaah nimekumbuka mambo ya yule bibi nikacheka sana
 
Lemutuz bana...na le noha yake kuiandika le mutuz kwa maandishi ya kupinda pinda....ingekuwa vogue si angeiwekea tangazo pale fire kwenye bilboards?? Kweli ukubwa wa pua si wingi wa mafua...jamaa ana mwili mkubwa lakini akili ndogo.....aya block na uku......
 
Daaah, maneno ya humu mtu unaweza kulia.
 
Huyu jamaa ameshahangaika kila kona namna ya kutoka sijui asaidiwaje?
 
Nina picha moja Le Mutuz kapiga Kalikiti kichwani enzi hizo lakini hakutoboa! Bado na uzee huu anataka kuimba Bongo Flavor?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom