Moshi: Mzee ahukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kusafirisha mirungi

Tumia akili unaposoma comment,elewa comment kabla ya kukurupuka,kuna sehemu nimesema nimefikia conclusion kua ametelekezwa?soma tena comment na uzingatie alama ya kuuliza (?)
Umeelewa maana ya conclusion kwenye hii context?Tuanzie hapo.
 
Hua sibishani na vitoto vya Shule,hivyo viswali vyako subiri waje watoto wenzako.
Anayekimbilia matusi ndio anaonyesha maturity rate yake.
Mkuu nilikuwa sibishani na wewe nilikuwa najaribu kuelewa.Mimi sisomi mkuu na nadhani mimi ni senior sana kwako.Nimezaliwa mwaka 1963 wewe je?
Una assume tu hivyo sio kosa lako.
 
Mpaka Ukiona Katoboa Ujue Amepiga Deal Haramu Za Kutosha
Oops!! Alikuwa Anajiandaa Na Christmas
Krismas anaanza kuiandaa mwezi wa tatu, Kwa nini isiwe pasaka basi? Kakamatwa 2017, pengine hukusoma habari yenyewe.
 
Back
Top Bottom