Moshi: Mzee ahukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kusafirisha mirungi

Kijijin hamna nyama choma na Smirnoff mkuu?...
Mkuu.. inategemeana. Kama vijijini kwenu hakuna exposure wataijulia wapi smirnoff ice? People are exposed. Yaan hii hate inayotolewa hapa na sehemu husika ni totally different. Mkuu ni mji mkuu wa wilaya. Ndo makao makuu. Sisi kule pote ni kijijini maana hata hapo anapoforce yeye sijui nini ni kijijin kbs. Ni vile ni taratibu tu kwamba hapa pawe hivi hapa pawe vile. Kiboro ni highway ya kwenda makao makuu, stendi na hospitali.... pia kwenda tarakea mpaka rongai huko na pia kwenda moshi. Sisi kote kule ni migomba imejaa tu. Nyumbani kwa mtu akaweka kigrocery tuu tayari ni mjini? Sisi mjini ni moshi bwana. Angalau Tarakea kuko exposed ambapo ndo mwisho huko kina custom etc. Mtu anavyotapika utumbo hapa utafikiri ni maskini wa kutupwa ilihali anaelewa hata mapato na viwanda vimejaa. Wivu wa kindengereko kbs huu. Unakuta mwanaume mzima anapindisha mshipa wa tkao kuongea ufala hapa. Halaf utakuta ni kitumishi kimeajiriwa huko tu na kimshahata chake cha kufutia machozi ila yuko so bitter. We are ahead of time. Mlitaka tukate migomba ili tupoteze culture yetu? Tutaendelea kiwachukua madada zenu wawe mabeki tatu wetu maana wakifilaga kule wanapaita mjini sisi tunaishia kushangaa. Mmeshazoea kuishi na wanyama mutaachaje kuwa na makasiriko. Tena mkome. Wewe fala wa salary ya 300k tulia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sawa miss pablo umeeleweka
Hakuna pingamizi
 
Shangaa wewe mwanangu...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sisi Waafrika(Watanzania wakiwemo) hatutendeani haki hata kidogo. Sheria zetu zinapitishwa Bungeni kwa mihemko na ujinga. Kuweka mirungi kwenye kundi moja na cocaine na heroine ni uwendawazimu kabisa

Miaka ya karibuni tu mirungi haikua haramu kisheria halafu leo hii Bunge linaweka kosa la kusafirisha mirungi adhabu iwe kifungo cha miaka 20 jela!!!!!!?

Kenya wenzetu ni source ya kupata fedha za kigeni kwani wanalima na ku export nje. Sasa hapa Bongo hata kama wangekataza kulima, kuuza, kusafirisha na hata kutumia isingekua kwa kuweka adhabu ya kikatili namna hiyo

Inasemekana madhara ya mirungi (kama ni makubwa kiasi hicho) ni sawa tu na ugoro. Lakini ugoro eti ni halali!!

Hivi kuna mafisadi wangapi ambao wanapiga pesa za umma huku athari zake zikiwa kubwa kwa uchumi wa nchi na jamii kubwa zaidi ya Watanzania? Na mara nyingi wakipatikana na hatia mahakamani ama watatozwa faini (kama yule David Mataka alilipa milion 8 kwa kusababisha hasara ya billions of money pale ATCL), au watapewa vifungo vy a miaka 3 tu jela kama kina Yona na Mramba baada ya kusababishia Taifa hasara ya 12bilion!!!!!!
 
Maisha magumu mpaka wazee wameamua liwalo na liwe,
Mzee wa miaka 71 hakua anatunzwa na wanawe? hakua na ndugu?
Tujaribu kuwatunza wazee wetu na kuwapa mahitaji yao,leo hii kama huyo mzee ana watoto wakisikia amehukumiwa kwenda jela miaka 20 bila shaka watajuta kumtelekeza but itakua too late!
Mkuu sikatai suala la kutunza wazazi, lakini kusema miaka 70, kwa mtu na afya yake, mbona anafanya kazi za kujitafutia riziki kama kawaida tu?

Tena wengine kwa umri huo unawakuta shambani wakilima, labda afya iwe mgogoro!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mzee alikamatwa na mirungi hiyo ikiwa ndani ya gari yake.
Mpaka anamiliki gari ujue huyo ana nafuu ya maisha.

Na usishangae mpaka hao watoto wake bado wanatemegea kumshengeta mzee wao.
 
Ila kuna wazee wengine bhana! Sasa we namiaka yote hiyo bado unatafuta pesa tu?

Kuna umri ukitimiza unatakiwa kutafuta msamaha kwa mola wako, kwa yale yote uliyo yafanya ukiwa kijana, sio kutafuta pesa tu mpaka uzeeni.
 
Uzeeni unatafuta pesa halali siyo ukae tu hapana kama unanguvu tafuta hela halali.
 
Maisha magumu mpaka wazee wameamua liwalo na liwe,
Mzee wa miaka 71 hakua anatunzwa na wanawe? hakua na ndugu?
Tujaribu kuwatunza wazee wetu na kuwapa mahitaji yao,leo hii kama huyo mzee ana watoto wakisikia amehukumiwa kwenda jela miaka 20 bila shaka watajuta kumtelekeza but itakua too late!
Conclusion ya kwamba ametekelezwa na watoto wake umeifikia vipi?
Mzee alikuwa msafirishaji maarufu wa mirungi akawekewa mtego.
Alikuwa analipwa .Na anatumia gari lake.Tukio hilo mkuu ni la 2017 .
Alikuwa anajua anafanya nini na alikamatwa na mzigo.
 
Mkuu sikatai suala la kutunza wazazi, lakini kusema miaka 70, kwa mtu na afya yake, mbona anafanya kazi za kujitafutia riziki kama kawaida tu?

Tena wengine kwa umri huo unawakuta shambani wakilima, labda afya iwe mgogoro!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wababa wasiku hizi 50 mizinga yakufa mtu sasa ukute mwanaye ndiyo anakazi yakuajiriwa ndiyo atakoma, labda huo umri awe mwajiriwa kidogo afadhali siku hizi wababa ni shida sana bora huyo alikuwa anajishughulisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom