Moshi kuna joto kali sana mpaka milimani bora hata Dar, joto litaua watu huku

Aisee moshi kuna joto balaa yaani sijui nisemeje mchana ndani wala nje hapakaliki huko milimani ndo usiseme


mungu wangu heri hata dsm ila sio kwa joto jili la.moshi aisee maana si usiku wala si mchana.
Duh, ngoja waje wenye Moshi yao ujiandae kwa povu
 
Hizo ni athari za kimbunga IDAI kilichoipiga Msumbiji na kuua mamia ya watu hivi majuzi. Inatabiriwa kaskazini mwa Tanzania na Kenya hali hiyo itadumu muda mrefu na kutakuwepo ukame wa muda mrefu. Tujipange.

Sent using Jamii Forums mobile app
BBC imeripoti vifo vya watu Kenya kutokana na njaa. Aidha serikali ilikanusha na kusema ni vifo vya wanyama tuu.
 
Hakuna mawasiliano kati ya binadamu na hali ya hewa ila hiyo ni taarifa kuna jambo liko njiani.

Kiukweli moshi haitakiwi kuizidi Dar kwa joto ila nowdays unaona moshi inafika nyuzi joto 36 na Dar inafikia 34• hapo lazima uwaze kuna nini.

Laiti mazingira yangekuwa yanasema basi kesho ingetoa taarifa, but imebaki siri na kwetu Afrika mpaka litokee ndiyo tunaongea...
 
Back
Top Bottom