Moshi kuna joto kali sana mpaka milimani bora hata Dar, joto litaua watu huku

Aisee moshi kuna joto balaa yaani sijui nisemeje mchana ndani wala nje hapakaliki huko milimani ndo usiseme


mungu wangu heri hata dsm ila sio kwa joto jili la.moshi aisee maana si usiku wala si mchana.
Likizidi nenda migombani kule ipo Baridi. Dar maji ya bomba ya moto kama yamechemshwa na hita. Hii ni adhari za uchafuzi wa mazingira duniani. Baridi kupindukia, tornado,hurricanes,heat waves, mafuriko,ukame nk ndiyo matokeo yake
 
joto la dar nahisi umesimuliwa , wewe unasema 34°bora ya hizo 30°C. sio bure aliyekusimulia amesahau kuedit
 
Hakuna haja ya picha. Mahindi hayajalimws mpaka sasa as bado wanasubiri mvua, mpunga unakauka, na mbogamboga zinakauka as maji ni haba! Ila Matombo huko inasemekana mvua zinanyesha vzr.
 
Back
Top Bottom