Moshi kuna joto kali sana mpaka milimani bora hata Dar, joto litaua watu huku

Bora huko mayb ..kiboko ya joto la ajabu ova upo kwenye handaki ni Ifakara kule sijajua watu wanasurvive vipi alafu hakuna upepo kumetulia tuliii...inakera sana.
Ifakara huwa pana joto balaa, ndio joto pekee lilonitoaga vipele vya joto.
 
Hakuna mawasiliano kati ya binadamu na hali ya hewa ila hiyo ni taarifa kuna jambo liko njiani.

Kiukweli moshi haitakiwi kuizidi Dar kwa joto ila nowdays unaona moshi inafika nyuzi joto 36 na Dar inafikia 34• hapo lazima uwaze kuna nini.

Laiti mazingira yangekuwa yanasema basi kesho ingetoa taarifa, but imebaki siri na kwetu Afrika mpaka litokee ndiyo tunaongea...
Na bado serikali ina tarajia kukata mamilion ya miti inayo patikana katika mbuga ya selous ..kwa minajili ya kupisha mradi wa umeme wa striglers gorge ...

Tutaipata pata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kali kiasi gani?
Aisee Moshi kuna joto balaa yaani sijui nisemeje mchana ndani wala nje hapakaliki huko milimani ndo usiseme

Mungu wangu heri hata Dsm ila sio kwa joto jili la Moshi aisee maana si usiku wala si mchana.
 
Back
Top Bottom