Ukikua utaacha.Kuishi nairobi mpaka uje utangaze JF utoto tabu sanaHuu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia
Acha bangi dogoNdessa ni tatizo
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia
Mkuu kama ni mkazi wa moshi nieleweshe nini tatizo tuangalia tunatatuaje izi changamoto ili mji huu uweze kukua..
Yani ulitaka ukija moshi usikute migomba badala yake yawe maghorofa hadi huko machame? Badala ya kuoengeza kwamba watu wa moshi wameendelea kuutunza mji wao na mandhari safi wewe unaona hilo ni tatizo, dah kweli maghorofa ya nai yamekuvutia sana.
Pita Nkwamasi,shuka pale Nkwarungo chini kidogo ya hosteli za wanachuo wa chuo cha nkwarungo hosp angalia namna kunavyopendeza,tembea juu kidogo ya lambo, fika hadi Nronga kote huko mandhari safiiiiiii halafu ufananishe na purukshani za huko kwa Kenyata.
Hata hivyo karibu sana moshi
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia
Unataka uonekane nawe wa moshi ehh?ila pataendeleaje wakati wazawa mnaonekana kwa msimu hasa sikukuu kama hizi tena mnaenda kwajili ya matambiko,hamuwekezi nyumbani,fursa kibao zipo kilimanjaro,unabaki kulialia hapa jf, sijuwi ili uwonekane nawe wa moshi umerudi nyumbani huu ni ujinga.maendeleo ya sehemu yanaanzia kwako binafsi.
Hivi upo moshi ipi maana sikuelewi wewe chizi,Mercedes-Benz pamoja zipo chini huwa zinafanya route mpaka vijijini kuwabeba wanaokodi hizo gari kwenye masheree mbalimbali, sasa alteza ipo chini kiasi gani kuzidi Mercedes-Benz,tatizo siku hizi jf kuna vilaza wamevamia,
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia
hakuna mu Nairobi wala mu alteza apa mboyoyo tu wakigoma tu huyu kanunua smart phone
Moshi Hakuna Mall kabisa nimekuja mjini kutafuta mahiyaji ya familia nimeteseka sana hadi wakenya wananishangaa mji ambao mlima mkubwa uko Africa dah nimepata aibu sana
Tumeshajua unaishi nairobi haya sikuku njema