Moses Machali: CHADEMA kinaweza kuwa chama cha msimu

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,935
1,296
Amesema hayo akihojiwa na Star tv, amedai kuwa endapo hakitabadili muundo wa siasa zake, na kujaribu kuingia akilini kwa wananchi wengi kuwa ni chama bora na chenye hekima, basi kinaweza kukosa hata wawakilishi wakutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani,kama ilivyokuwa huko nyuma kwa NCCR na CUF.

My take:
Siasa za maandamano na shari ndio zitakazowatisha wananchi, hasa wakizingatia maandamano hayo Kule Kilimanjaro huwa hayafanyiki!
 
Chama chochote ni chama cha msimu.
Star tv, namuangalia na kumsikiliza hapa
 
Amesema hayo akihojiwa na Star tv, amedai kuwa endapo hakitabadili muundo wa siasa zake, na kujaribu kuingia akilini kwa wananchi wengi kuwa ni chama bora na chenye hekima,basi kinaweza kukosa hata wawakilishi wakutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani,kama ilivyokuwa huko nyuma kwa NCCR na CUF. My take, siasa za maandamano na shari ndio zitakazowatisha wananchi,hasa wakizingatia maandamano hayo Kule Kilimanjaro huwa hayafanyiki!

Hizo ni ndoto za mchana, hata yeye Machali hana uhakika wa kurudi.mjengoni 2015,. Jimbo lake liko hoi kimaendeleo hakuna lolote ni mweupe kama pamba,muda ule 2010 wanakigoma walichoka na CCM ma walikuwa tayari kuchagua hata mbuzi kuwa mbunge wao ndiyo maana huo ubunge alikutana nao kama bahati ya ngekewa fulani.
Dogo bange nyingi hata mimi namcheki hapa hana jipya anaona wivu jinsi watanzania walivyo na matumaini na mwamko kwa CHADEMA.

NAOMBA KUWASILISHA...
 
acha unafiki kwanini usiseme CCM/NCCR/UDDP/UDP amesema chama kama chama sio chadema

Nonetheless, wewe ni mtu mbaya sana, ukichukilia reading na listening analysis hikindicho umeona cha kuandikan? Mungu wangu Tanzania ina shida jamani bila hata kujua kiwango cha elimu lakini kama huu ndio mtazamo wa siasa Tanzania baqsi Tanzania ina shida kubwa kuliko hata maskini wa Igalansosi anavyojua nini maana ya Tanzania.
 
Amesema hayo akihojiwa na Star tv, amedai kuwa endapo hakitabadili muundo wa siasa zake, na kujaribu kuingia akilini kwa wananchi wengi kuwa ni chama bora na chenye hekima,basi kinaweza kukosa hata wawakilishi wakutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani,kama ilivyokuwa huko nyuma kwa NCCR na CUF. My take, siasa za maandamano na shari ndio zitakazowatisha wananchi,hasa wakizingatia maandamano hayo Kule Kilimanjaro huwa hayafanyiki!

Acha ubwege wewe gamba unafikiri hicho kipindi unakiangalia wewe mwenyewe?

Najua Chadema inawanyima usingizi buku saba fc lakini hiyo isikufanye ukatumia kinyesi kufikiria badala ya akili uliyojaaliwa na Mungu!
 
Hizo ni ndoto za mchana, hata yeye Machali hana uhakika wa kurudi.mjengoni 2015,. Jimbo lake liko hoi kimaendeleo hakuna lolote ni mweupe kama pamba,muda ule 2010 wanakigoma walichoka na CCM ma walikuwa tayari kuchagua hata mbuzi kuwa mbunge wao ndiyo maana huo ubunge alikutana nao kama bahati ya ngekewa fulani.
Dogo bange nyingi hata mimi namcheki hapa hana jipya anaona wivu jinsi watanzania walivyo na matumaini na mwamko kwa CHADEMA.

NAOMBA KUWASILISHA...

Art of possibilities ameongea ni positive way kuwa inwaezekana ikawa hivyo ikiwa wataacha kuwapigania wananchi.

Hii kuokota maneno bila kuangalia contents nzima ( Mukutadha) na kuibandika hapa ni upotoshaji na haitaisadia CDM kwenye harakati zake kwenye msjukwaa haya.
 
Nakubaliana kwa 100% na Mbunge Moses Machali.

Kama kuna kitu kinachowaumiza Magamba na Mapandikizi yao ni CDM kuustukia mchezo wa Magamba kuandaa Mapandikizi kwenye Uchaguzi wao, na kuamua kuwachomolea kwamba hawatafanya uchaguzi mpaka baada ya 2015. Sasa hivi yanaanza kuweweseka yenyewe. Yatajitaja tu mwisho wa siku. Tatizo, Mzee wa Gombe hana subira, aliropoka mapema baada ya kuupanga mchezo kwamba CDM kitakufa. Wenye akili zao wakatafakari, wakaja wakaugundua mchezo wote. Ndio maana sasa hivi Magamba ndio wanaoumia sana kwa kutokufanyika Uchaguzi wa CDM kuliko CDM wenyewe. Kweli Magamba ni zaidi ya Wachawi!
 
Hicho anachokiita 'chama cha msimu' ndio kinatunyima usingizi sisi makada wote wa CCM, kuanzia mwenyekiti wetu Kikwete mpaka wajumbe wa nyumba kumi kumi wote hatulali usingizi kila tunaposikia harakati za CHADEMA zikirindima nchi nzima.
Kila kikao kikuu cha CCM agenda kuu au agenda shirikishi ni CHADEMA, why so?

WanaCCM tuache porojo tujipange sasa vizuri kupambana kwa hoja na CHADEMA, kwa maana soon tutalizwa mbaya.
 
Hizo ni ndoto za mchana, hata yeye Machali hana uhakika wa kurudi.mjengoni 2015,. Jimbo lake liko hoi kimaendeleo hakuna lolote ni mweupe kama pamba,muda ule 2010 wanakigoma walichoka na CCM ma walikuwa tayari kuchagua hata mbuzi kuwa mbunge wao ndiyo maana huo ubunge alikutana nao kama bahati ya ngekewa fulani.
Dogo bange nyingi hata mimi namcheki hapa hana jipya anaona wivu jinsi watanzania walivyo na matumaini na mwamko kwa CHADEMA.

NAOMBA KUWASILISHA...

Two wrongs do not make perfect! Kwa hiyo na nyinyi mnanachafua maendeleo yalioletwa na chama tawala ili watu wakasirike na mwishoni wachague hata jiwe kutoka chadema kama Sugu,Lema Nasari ni macriminal hao!
 
Back
Top Bottom