Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
- Thread starter
- #41
Taabu kweli kweli!
Hivi zile singo zenye agenda za UDINI, UKABILA, UKANDA, UKOO, na mambo yanayo fanana na hayo zimeishia wapi?
Hata hii ya Maandamano kutofanyika Moshi itapita tu!! Ili chuma cha pua kiwe kamili, lazima kupitia kwenye tanuru la moto. Mwisho wa siku huwa chuma vha pua imara.
Kama ni Chama cha Msimu, Wassira licha ya kuapa kuimaliza CHADEMA akichaguliwa m-NEC CCM, hatimaye alijikuta akitangazia waTanganyika kukifungia CHADEMA milango ya kinacho itwa kunywa juice IKULU.
Hata Mwenyekiti wa mi-CCM alisha sema CHADEMA ni chama cha msimu. Mwishowe akijikuta akiwaambia mi-CCM wenzake "WAJIANDAE KISAIKOLOJIA".
Wewe dogo unaonekana hujui historia ya vyama vingi hapo miaka ya mwanzo ya 90s, Hakuna chama kilitisha kama Nccr Mageuzi! Unaambiwa mgombea uraisi wake alikubalika hadi vijijini, kila kona ukipita ni tawi la nccr na bendera juu! Kimeishia wapi! Chadema hamna nguvu ya hoja ila mna"hoja za nguvu" mtaishia kuliwa hela za michango na watu wanajirusha na mademu wao nchi za nje nyie mnadhani wanaimarisha chagas...oh! Sorry...Ee chama!