Vijijini Lawama
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 298
- 73
hayo maandamano ndiyo yamefanya wananchi waipe chadema kura, kumbe maandamano yanawanyima usingizi chezea nguvu ya umma weyeeee!amesema hayo akihojiwa na star tv, amedai kuwa endapo hakitabadili muundo wa siasa zake, na kujaribu kuingia akilini kwa wananchi wengi kuwa ni chama bora na chenye hekima, basi kinaweza kukosa hata wawakilishi wakutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani,kama ilivyokuwa huko nyuma kwa nccr na cuf.
My take:
Siasa za maandamano na shari ndio zitakazowatisha wananchi, hasa wakizingatia maandamano hayo kule kilimanjaro huwa hayafanyiki!