Two wrongs do not make perfect! Kwa hiyo na nyinyi mnanachafua maendeleo yalioletwa na chama tawala ili watu wakasirike na mwishoni wachague hata jiwe kutoka chadema kama Sugu,Lema Nasari ni macriminal hao!
Hakyamama yako wewe umevurugwa, hivi ni maendeleo yapi unayojivunia chini ya MACCM??, inawezekana wewe kama siyo kipofu na kiziwi basi ulishawahi kunafaika na yafuatayo:...
1.Pesa za EPA k.v. KAGODA, Meremeta, Richmond, IPTL,
2.Mabilioni ya Uswisi
3.Mabilioni hewa ya Uswisi
4.Manilioni ya JK
5.T- Shirt na Kanga za MACCM wakati wa uchaguzi
6.Ruzuku ya Magamba
7.Mradi wa gesi ya Mtwara kwa ajili ya fidia ya Ritz
8.Biashara ya kuuza unga inayoratibiwa na vigogo na wabunge wa magamba
9.Aidha wewe ni mbunge kundi la vitu maalamu kwa watu maalumu.
10.Aidha wewe au baba yako alikuwa mkimbizaji wa tochi ya uhuru a.k.a Mwenge wa uhuru.
Ukweli lazima uwaingie na kuwauma,
Naomba kuwasilisha Mh. Mwenyekiti.