alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
ushauri gani wakati wew ni buku saba carrierKamanda, mbona hampendi kushauriwa!?

kama hamkosi usingizi sasa mbona kila kukicha ni CHADEMA tu, hata wabunge wetu wakitoka bungeni, utasikia tu 'leo hawapo'. vipi kuhusu CUF, ADC, NCCR, UPDP, UDP, jahazi asilia, nk.[/QUOTE
Lazima iongelewe cdm kwasababu ya siasa zake chafu na mbaya. Siasa za maandamano na vurugu. Siasa za kutotii mamlaka hucka. Ni siasa ambazo haziendi sawa na utamaduni wa Mtanzania. Cdm imeleta siasa za uasi. Inaelekeza watu kutoitii serikali iliyopo madarakani. Badala ya kueneza sera zake,badala yake kila kukicha ni chama cha kuhubiri maandamano!!! Siasa za cdm ziimeleta zaidi hofu ya usalama wa nchi kutokana na sera zake na uendeshaji na wake. Lazima watu tuwamlike na tuwaangalie kwa jicho la tatu!! Vyama vingine havina siasa chafu km Cdm ndo maana wala hatuwaongelei!!
Huyu Machalii si ndo alipigwa na vibaka kule Dom kwa sababu ya upuuzi wake?
Kwa hiyo mimi nifanyaje?niko against nawe 101%
mbona hamuongelei vyama vingine? Kumbe mnakosa usingizi mkisikia chadema??
katumwa huyo kijana yeye mwenyewe kimoyomoyo anaitamani chadema.

Two wrongs do not make perfect! Kwa hiyo na nyinyi mnanachafua maendeleo yalioletwa na chama tawala ili watu wakasirike na mwishoni wachague hata jiwe kutoka chadema kama Sugu,Lema Nasari ni macriminal hao!
Nakubaliana kwa 100% na Mbunge Moses Machali.
Amesema hayo akihojiwa na Star tv, amedai kuwa endapo hakitabadili muundo wa siasa zake, na kujaribu kuingia akilini kwa wananchi wengi kuwa ni chama bora na chenye hekima, basi kinaweza kukosa hata wawakilishi wakutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani,kama ilivyokuwa huko nyuma kwa NCCR na CUF.
My take:
Siasa za maandamano na shari ndio zitakazowatisha wananchi, hasa wakizingatia maandamano hayo Kule Kilimanjaro huwa hayafanyiki!
Amesema hayo akihojiwa na Star tv, amedai kuwa endapo hakitabadili muundo wa siasa zake, na kujaribu kuingia akilini kwa wananchi wengi kuwa ni chama bora na chenye hekima, basi kinaweza kukosa hata wawakilishi wakutosha bungeni na kuunda kambi ya upinzani,kama ilivyokuwa huko nyuma kwa NCCR na CUF.
My take:
Siasa za maandamano na shari ndio zitakazowatisha wananchi, hasa wakizingatia maandamano hayo Kule Kilimanjaro huwa hayafanyiki!
kama hamkosi usingizi sasa mbona kila kukicha ni CHADEMA tu, hata wabunge wetu wakitoka bungeni, utasikia tu 'leo hawapo'. vipi kuhusu CUF, ADC, NCCR, UPDP, UDP, jahazi asilia, nk.[/QUOTE
Lazima iongelewe cdm kwasababu ya siasa zake chafu na mbaya. Siasa za maandamano na vurugu. Siasa za kutotii mamlaka hucka. Ni siasa ambazo haziendi sawa na utamaduni wa Mtanzania. Cdm imeleta siasa za uasi. Inaelekeza watu kutoitii serikali iliyopo madarakani. Badala ya kueneza sera zake,badala yake kila kukicha ni chama cha kuhubiri maandamano!!! Siasa za cdm ziimeleta zaidi hofu ya usalama wa nchi kutokana na sera zake na uendeshaji na wake. Lazima watu tuwamlike na tuwaangalie kwa jicho la tatu!! Vyama vingine havina siasa chafu km Cdm ndo maana wala hatuwaongelei!!
Kaka unaangalia siasa za chadema chafu, umejiangalia wewe na kujua hata maana ya jina lako?
Jina lako ni chafu, nenda kabatizwe upewe jina jipya ndio huje hapa
Moshi imeshakombolewaswali limeulizwa, kwanin maandamano Moshi hakuna? despite wanufaika wengi na engineers wapo huko
kamanda kwa nini tukose usingizi kwa ajli ya saccos ya chadema?!