Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,581
Mkuu unayumba
Umesema "Kuna baadhi ya wakimbizi wa kiarabu au kisomali hta wa kiBantu wanaamin wakiingia mataifa ya ulaya wataweza kupata maisha ya utajiri kiharaka na kuishi vema."
Kwanini wasikimbilie kwa waarabu wenzao wakapate hayo maisha mazuri huku wakiwa chini ya utawala wa Sharia mkuu?
Jibu hoja acha kukimbilia matusi.... Hiyo statement hakupewa Abraham?? Je kwanini una fanya exceptions zako kuwa inamhusu Yakobo tu?? ni wapi waliposema hizo baraka za Abraham zinaenda kwa mtu mmoja tu na sio KIZAZI CHOTE cha Abraham??
Leta hiyo statement hapa otherwise acha jewish propaganda.....
We jamaa shida husomi maandiko..... Abraham aliahidiwa ardhi kuanzia River Nile misri mpaka Mto Euphrates Huko Iraq/Syria sasa unaweza niambia alipoenda kukaa Ismael na uzao wake au Edomites hawakuishi ndani ya eneo hilo??Abraham hakuhaidiwa Canaan tu bali hadi Iraq sasa jiulize kama yakobo alibaki hapo Judaeah.... Huko Iraq,syria,Jordan n.k alienda kuishi nani ili kutimiza ahadi kwa Abraham??Hakuna cha Jewish propaganda
Kama ardhi ya Kanaani aliahidiwa Abrahamu
Mbona hakupewa ismail
Mbona hakupewa Esau
Kwa nini apewe Isaka then Yakobo
ACHA kukaza kichwa, i repeat![]()
Kwa hiyo ndio baniani mbaya kiatu chake dawa?Hizo ni fikra zao.
Huwez ibadilisha fikra ya mtu kamwe
Wao wanafanya wanachokiamini.
Kwa hiyo ndio baniani mbaya kiatu chake dawa?
Kwanini wasikimbilie Qatar,UAE na Saud Arabia kwenye maziwa na asali pia kwenye ndugu zao wengi pamoja na tamaduni moja?Na wengi wao wanakimbilia France na UK kwasababu hzo nchi Islamic population imekua kwa kiasi kikubwa.
Kwanini wasikimbilie Qatar,UAE na Saud Arabia kwenye maziwa na asali pia kwenye ndugu zao wengi pamoja na tamaduni moja?
...hizo nchi tajiri za ghuba zimechangia sana kuivuruga Syria,Yemen hatari sana hao jamaa.Kwanini wasikimbilie Qatar,UAE na Saud Arabia kwenye maziwa na asali pia kwenye ndugu zao wengi pamoja na tamaduni moja?
Misri A.K.A moyo wa Waarabu. Soma historia utafahamu kwa nini iliitwa hivyo. Kilichomponza ni kufungua mpaka uliyopo baina ya Misri na Palestina.Morsi alijiteketeza mwenyewe kwa mbegu aliyoipanda.
Kweli mkuu.Maana MMAREKANI amekuwa akimtumia mwarabu kumteketeza mwarabu mwenzake....hizo nchi tajiri za ghuba zimechangia sana kuivuruga Syria,Yemen hatari sana hao jamaa.
Poor AfricaAfrica, the Dracula's continent.