PutinV
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 1,046
- 1,649
Kwenye barua za Paul alijaribu kuonesha kuenea kwa imani kwa watia wa mataifa mengine kwa sababu ya kuamini kwao, kama Abrahamu aliamini basi nao wakiamini basi neema itakuwa kwao pia. Lakini Yakobo aliambiwa na wazawa wake watqimiliki nchi ile, na hizi baraka zilienda kwa watoto waliochaguliwa na baba zao, na walioshika Mungu, Abrahamu aliahidiwa nchi ya Kanaani, lakini haki ile ilirithiwa na Isaka na sio ismail, ndio maana alizikwa makpelah, vile vile haki hiyo ya ardhi ya Kanaani akapewa Yakobo na sio Esau, na Yakobo alizikwa makpelah, Mungu alifanya agano na Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Abrahamu, haikuwa Esau, wala ismail wala Midian na nduguze ndio maana Abrahamu aliwatenga na Isaka.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Mkuu ina maana ikirudiwa kwa Yakobo ndio imefutika kwa Abraham?? Nachojua ilianzia kwa Abraham hivyo imacover mataifa mengi sana soma 1 Peter na wagalatia sura ya 3 ile nzima utaona watoto wa Abraham wenye hizo baraka wamekuwa extended. Sababu Kibiblia Abraham ni baba wa mataifa mengi sio Israel tu.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app