Morogoro

issa mweusi

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,481
2,000
Nipo morogoro hadi Xmas na new year wanajamii nijuzeni maeneo ya kupumzika sikukuu hizo.....
 

24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,599
2,000
club down town ......,samak samaki sport nyumbani park.........,airport clasic bar..........,nashera hoter...... viber kihonda ni wewe tu......
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
23,285
2,000
Mkuu Maeneo Mazuri Yapo Nyumbani Park Kihonda
Mjini Katikati Kuna Viwanja Tele
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom