wanaume wafupi mkoani morogoro wapanga kuandamana kudai haki ya wao kupendwa na wanawake maana imeonekana kundi hili linaongoza kwa kuzalauliwa hasa na jinsia ya kike mwenyekiti wa kamati ya maandamano bw said juma mkazi wa nane nane mkoani morogoro amedai dhalau zimezdi sana sasa wamechoka na wameamua kuandamana ,wakiwa na lengo la kuisisitiza jamii kutowazalau kwa ufupi walionao, hii imekuja baada ya jamaa mmja anayeitwa dulla shortii deleva boda boda maarufu xana mkoani hapa kushushiwa kashfa za kutosha na binti mmja, maneno hayo ya dharau na kejeli yalimfanya dulla kujiona kama mtu asiye na thamani na haki ya kupenda duniani "kaone kwanza haka kambilikimo hivyo unadhani me ntakupeleka wapi hvi wewe wakuishi na mtu kama mimi pumbavu wewe" hayo ni baadhi ya maneno ya kashfa aliyopewa dulla shortii kutokana na hili baasi watu wafupi wameona wafanye maandamano ya amani kupinga vitendo vya dhalau dhidi yao, nawasilisha
source Planet fm morogoro