Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Police wetu watatutesa sana na hzi ideology za kikoloni.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.
bwana wee sema tu wanatumiwa vibaya kinyume na matamanio yao kwa kuwa wameapa kuitii sauti iliyo juu yao.Police wetu watatutesa sana na hzi ideology za kikoloni.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.
Mabomu tuliyamiss, wacha yarindime tuzidi kuyazoe
Police wetu watatutesa sana na hzi ideology za kikoloni.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.
Hapo ndo nazidi kulia na IGP Mwema, aondoke!!!
Police wetu watatutesa sana na hzi ideology za kikoloni.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.
Punguzeni hasira wakuu, hao jamaa wanawatrigger ili kuarouse hasira zenu na huku Mods wanafuatilia, so kuweni makini na BAN, sipendi kuwakosa hapa jamvini hata kwa siku moja wakuu!!!!
Kwani hao waandamaniji aka watu waliokuwa wanakwenda kwenye mkutano wa chama chao, walikuwa wanafanya uhalifu gani mpaka askari kutumia risasi za moto?
yeh nimekubali hapa ni tumbaku morogoro kuelekea k/ndege kwenye mkutano