Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

Police wetu watatutesa sana na hzi ideology za kikoloni.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.
 
Police wetu watatutesa sana na hzi ideology za kikoloni.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.
bwana wee sema tu wanatumiwa vibaya kinyume na matamanio yao kwa kuwa wameapa kuitii sauti iliyo juu yao.
 
kwa habar zilizopo maandamono yalyokuwa yafanyike Morogoro yamezuiwa kwa nguvu zisizo na busara na polisi na hivyo kusababisha kifo cha raia mmoja muuza magazet aliyepigwa risas ya moto ya kichwan na askari polisi na kufa hapo hapo
source ITV Habar za saa(saa 800)
 
Kwani hao waandamaniji aka watu waliokuwa wanakwenda kwenye mkutano wa chama chao, walikuwa wanafanya uhalifu gani mpaka askari kutumia risasi za moto?
 
Hapo ndo nazidi kulia na IGP Mwema, aondoke!!!

hapa ndo sikubaliani nawe..hapo IGP ana kosa gani??!

Police wetu watatutesa sana na hzi ideology za kikoloni.
Ndo maana sishangai kwa nini police ni form four FAILURES.

mkuu stop generalizing mambo...unamtusi baba yangu aliyeko Moshi kule ujue..its jus not right! ongelea yanayoendelea Morogoro ila huku uendako siko...
 
Walio Morogoro naomba kujua kama mkutano unaendelea au umehairishwa kwa sababu ya mauaji ya Policcm?
 
Kwani hao waandamaniji aka watu waliokuwa wanakwenda kwenye mkutano wa chama chao, walikuwa wanafanya uhalifu gani mpaka askari kutumia risasi za moto?

Walipita tu kwa wingi kwenye ardhi anayoimiliki amiri jeshi mkuu,. Tanzania inanitia hasira sana.Alaniwe popote alipo alietunga hili jina la CCM.
 
Angalizo: waziri wa Mambo ya Ndani akishirikiana na IgP, MwiGilu, ndo' waliyofanya hii MIPANGO ili CHADEMA kionekane ni Chama chenye VURUGU....
 
Too bad. Another sad demonstration of systematic assassinations perpetrated yet again by police.

CCM na mamluki wao ndani ya sare za polisi bado kuelewa kuwa hawawezi kushindana na nguvu ya umma?

Tutawaleta mbele ya Mahakama za sheria na watahukumiwa kwa uuaji huu. Tunatunza kumbukumbu muda ukifika hawataponyoka hata mmoja.
 
Polisi=majambazi,wauaji Mungu awahukumu waanze kupooza mmoja mmoja kufikia 2015 wawe wamekwisha
 
Back
Top Bottom