Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,708
- 8,746
Nipo hapa Morogoro kwa wiki kama mbili hivi sasa, nimetokea mkoani huko Kanda ya ziwa. Kwa siku chache nilizokaa hapa nimegundua mijitu ya hapa ni mivivu sana mabishoo mno halafu wengi njaa hawana kazi za kufanya, wanaume wengi wa Moro ni wavivu sana.
Wadada wengi masistaduu ila wanaishi kwa kudanga, baadhi ya wadada wanaojielewa wanafanya kazi viwandani huko mazafa, polyester na kwingineko.
Watu wa Morogoro mjini inaonekana wengi wavivu kupika mida ya jioni kila uchochoro wa mji unafuka Moshi wa chipsi mayai na mishikaki na kuku broiler watu kibao wake kwa waume utakuta wamejazana kula chips.
Migahawa mingi ya Moro hupati vyakula vyenye afya kama ugali wa dona na udaga, wao ni mwendo wa kula sembe.
Supu ya pweza inagombaniwa hapa mjini, kuna jamaa anauza supu ya pweza mitaa karibu na masika pale unakutana na masela kibao wanaigombania, hawa jamaa hawana tofauti na wanaume wa Dar.
N.B: Watu wa Morogoro tembeleeni mikoani msiishie Dar tu mnaharibikiwa mjue naona tabia za watu wa Dar zishahamia Moro