Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,974
- 8,116
Wakitoka Moro watahamia DodomaMlianza na DSM! Mshafika Morogoro! Iringa na Mbeya coming soon
Wakitoka Moro watahamia DodomaMlianza na DSM! Mshafika Morogoro! Iringa na Mbeya coming soon
Mi nimekaa miaka miwili naongeaa with xperinc na elaa iliyopo no mpkaaa mavuno kwa mzunguko wa hela kwa hilo nakubishiaaa yaaan helaa hamnaa kabisaa na wengi wanategemea za mwisho wa mwezi from kiwandanimkuu nmekaa ple km 2weeks kilombero sijaona ubaya wake na nilichogundua kuna ela sana ukiacha morogoro mjin sehemu inayoingiza hela sana ya mapato ni ple kupitia biashara mzunguko wa hela uko juu sana..pia unaposem bila viwanda kungefanana vp.. viwanda ndo kila kitu huoni sasa hpo moro mjin kulivyokuwa kugumu kimaisha sabb ya ukosefu wa nn si viwanda lkn vingekuwepo km miaka ile hpo moro mjin kusingekuwa hivo..