Morogoro mji kasolo bahari....

Morogoro mji kasolo bahari....

Kaka Chai acha kumtisha mgeni kote kuna mbu na kumbuka huko ulikokuwa ni uswazi.

Sehemu za kupata lunch zipo nyingi siyo hapo ulipopasema Chipukizi labda kama ulikuwa mpenzi wa kwenda kaumba.kuna vijiwe vingi classic sema hukuwa na mwenjeji.

Bima,camel pub,Arc hotel.Bz lounge.nyumbani lounge.....
Ni kweli mkuu sikupata mwenyeji,ila kwa swala mbu dah,haina kificho,maana wako shapu kama 'pasi za barcelona'
 
Kaka Chai acha kumtisha mgeni kote kuna mbu na kumbuka huko ulikokuwa ni uswazi.

Sehemu za kupata lunch zipo nyingi siyo hapo ulipopasema Chipukizi labda kama ulikuwa mpenzi wa kwenda kaumba.kuna vijiwe vingi classic sema hukuwa na mwenjeji.

Bima,camel pub,Arc hotel.Bz lounge.nyumbani lounge.....
Mkuu ntahamia moro mwezi wa 7,ntakutafuta kabla ili unionganishe na madalali nipate nyumba safi pande za forest mpaka Bigwa.
 
By Akili Unazo!

Nyumba ya bei gani....ukubwa .....
 
Nyumba ya bei gani....ukubwa .....

3-4bed rooms+1master bed room/dining/sitting/kitchen/store/umeme luku/fanced......hii ntaipata Kwa bei gani?najua maji moro hayasumbui sana maana karibu nyumba zote za moro zina mabomba ya maji,ingawa pande za kihonda some times mida ya alfajiri huwa yanakatika na kurudi ni mpaka saa2 asbh.
 
Kaka Chai acha kumtisha mgeni kote kuna mbu na kumbuka huko ulikokuwa ni uswazi.

Sehemu za kupata lunch zipo nyingi siyo hapo ulipopasema Chipukizi labda kama ulikuwa mpenzi wa kwenda kaumba.kuna vijiwe vingi classic sema hukuwa na mwenjeji.

Bima,camel pub,Arc hotel.Bz lounge.nyumbani lounge.....

Mkuu upo?? Ubwabwa lini?
 
Uko pande zipi mkuu?
Na mm nilikua hapo moro pande za Kihonda-Idiva ila nimechomoka leo kurudi Dar!
Anyway najua wadau wapo wengi tuu hapo Moro.

mi nipo Wilaya ya Ulanga Mahenge..... mbali noumerrr
 
Hahahahahaha.
manoahhhhhhhhhh!
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
Umekula ban mku,dah pole sana,najua ata moro utaiona mbaya leo lol!
 
Dahhhh.... Mbaya sanaaaaaaa...... Mpaka inakera sasa.... agghhhrrr
 
Karibu top life...
Glonency
Palm tree
Monile travelers..
Break point...
 
Back
Top Bottom