Morogoro mji kasolo bahari....

Morogoro mji kasolo bahari....

Nilijua kuwa hampendi wageni Donn!! Shame on you Moro members!

mi nawawakilisha tu watu wa moro.... Huku si Nyumbani..... nimekuja tu kwamishe flani flani kisha narudi Dar..... Ila sitaki kuamini kuwa nipo mwenyewe tu JF Member huku....
 
Last edited by a moderator:
Inabidi kuwafanyia ka mpango ka ISP wa bure na vipakato vya bure tunaweza pata member wa kutosha.

dahh... umeongea point sana... mi huku huwa wananiagiza vipakato mpaka naboreka..... Ila hapo kwa ISP wa bure ndo ishu
 
Ngoja, nitafaye mawasilia na wadau tuone jinsi gani tunapata ISP wa bure, yani hapo tunaanzisha kama NGO'S ivi kakusaidi moro, unajua sasa ivi mataifa yanapigia sana chapuo mawasiliano

Ukifika unistue basi kaka. Safari njema, usisahau seat belts are like condoms, they save life.
Arushaone unashangaa nini? Mie naishi moro.

Akifika akushtue nini, yani toka nikupige kibuti unahangaika kweli. . .
 
Last edited by a moderator:
Ngoja, nitafaye mawasilia na wadau tuone jinsi gani tunapata ISP wa bure, yani hapo tunaanzisha kama NGO'S ivi kakusaidi moro, unajua sasa ivi mataifa yanapigia sana chapuo mawasiliano

ooohh... thats a point... and huku pako rahisi sana kiuchumi.... ngoja tuone tunaweza fanya nini katika hilo.... PM
 
Sawa mkuu Donn ngoje nifike huko kwa PM
ooohh... thats a point... and huku pako rahisi sana kiuchumi.... ngoja tuone tunaweza fanya nini katika hilo.... PM
 
Last edited by a moderator:
mi nawawakilisha tu watu wa moro.... Huku si Nyumbani..... nimekuja tu kwamishe flani flani kisha narudi Dar..... Ila sitaki kuamini kuwa nipo mwenyewe tu JF Member huku....
Uko pande zipi mkuu?
Na mm nilikua hapo moro pande za Kihonda-Idiva ila nimechomoka leo kurudi Dar!
Anyway najua wadau wapo wengi tuu hapo Moro.
 
Wadau wa CC manoah anaingia hapo Mji kasoro bahari mida ya saa tisa. Ndugu wana cc mtakao kua na nafasi napenda tuonane.

Wakuu mi nipo morogoro na mara nyingi huwa kama member akija moro tunaonana naye hivyo nitafute ukifika mkuu
 
Last edited by a moderator:
Moro kuna members kweli? Kuna wakati mwaka jana Don Mangi alienda kule nakumbuka hakukutana na member yeyote! Safe trip manoah.
Wapo mkuu,tena wengi tuu.
Kuna siku niliingia cafe moja hivi iko maeneo ya kuelekea posta kushoto ndanindani kidogo nikakuta takribani Computer 4 zimesaini JF na mmoja wao nilimfahamu kwa sura(SHABANI KADO)mchezaji wa Yanga aliyeuzwa coast union ya Tanga.
 
Last edited by a moderator:
Wanajifichaga eeh! au wanatuonea aibu wa dar na arusha jinsi tunavyo jipenda
Wapo mkuu,tena wengi tuu.
Kuna siku niliingia cafe moja hivi iko maeneo ya kuelekea posta kushoto ndanindani kidogo nikakuta takribani Computer 4 zimesaini JF na mmoja wao nilimfahamu kwa sura(SHABANI KADO)mchezaji wa Yanga aliyeuzwa coast union ya Tanga.
 
Sawa sawa mkuu, sasa ivi nipo njiani kuja huko.

Mkuu usisahau kutumia NET maana kuna mbu balaa,full malaria aise.
Hapa nilipo nina doz nimeanza kuitumia jana.
Ukitaka vijiwe vya kupata lunch nenda pale town karibu na ofisi za abood bus kuna bar moja nimeisahau jina,jamaa wanachoma nyama balaa mkuu lol!
 
Sawa mkuu, nitafikia hotelini sasa nikikuta hotel haina net hapo itakua habari nyingine. Ila mie ni damu yangu ni baridi sipati malaria.
Mkuu usisahau kutumia NET maana kuna mbu balaa,full malaria aise.
Hapa nilipo nina doz nimeanza kuitumia jana.
Ukitaka vijiwe vya kupata lunch nenda pale town karibu na ofisi za abood bus kuna bar moja nimeisahau jina,jamaa wanachoma nyama balaa mkuu lol!
 
Mkuu usisahau kutumia NET maana kuna mbu balaa,full malaria aise.
Hapa nilipo nina doz nimeanza kuitumia jana.
Ukitaka vijiwe vya kupata lunch nenda pale town karibu na ofisi za abood bus kuna bar moja nimeisahau jina,jamaa wanachoma nyama balaa mkuu lol!

Kaka Chai acha kumtisha mgeni kote kuna mbu na kumbuka huko ulikokuwa ni uswazi.

Sehemu za kupata lunch zipo nyingi siyo hapo ulipopasema Chipukizi labda kama ulikuwa mpenzi wa kwenda kaumba.kuna vijiwe vingi classic sema hukuwa na mwenjeji.

Bima,camel pub,Arc hotel.Bz lounge.nyumbani lounge.....
 
Back
Top Bottom