MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,491
- 8,721
Moro ndio maana haisongi mbele kimaendeleo...hadi sasa haijapata mwakilishi mzuri!
Wale Waruguru wana mwabudu Abood yaani Ogopa jamaa ni kama Mungu, na Umasiki wao wote ila poa tu
Moro ndio maana haisongi mbele kimaendeleo...hadi sasa haijapata mwakilishi mzuri!
Hayo majibu yana utata hakuna ukweli mwenye majibu sahihi ya Moro atuambie
Wale Waruguru wana mwabudu Abood yaani Ogopa jamaa ni kama Mungu, na Umasiki wao wote ila poa tu
Abood si mbunge bali mfadhili. Kikubwa anachofanya ni kuwapa laki 2 2 kina mama wanaoanzinzisha vicoba na bus la kwenda kuzikia kama mkifiwa. Zaidi ya hapo hospital haina madawa, mjini maji shida japo kuwa mkoa unavyanzo vya maji wanayokunywa wana Dar es Salaam.
Waluguru ni watu tofauti sana, wana akili fupi kama vimo vyao.
Wale Waruguru wana mwabudu Abood yaani Ogopa jamaa ni kama Mungu, na Umasiki wao wote ila poa tu
​Mkuu Kuna Mikoa Imelaaniwa Siyo Bure.
Ujinga ndio mtaji wao CCM.
Ni jambo la ajabu sana kuwa hakuna anayetoa matukio kila mtu katishwa, hata Jamii forums tangu jana ni kituko kabisa na mimi najitoa, ni lazima vijana wengine waanzishe huduma hii, labda tukajaribu kwa Ayo kwa kuwa kina maxence tayari wameshahongwa, its very sad kwa blog ambayo tulii support hata wakati wanashughulikiwa na sserikali leo kwa vishilingi vidogo tu wametusaliti, yaani jamii forums for once hawana watu vituoni, na system yenyewe iko down throughout, if you could be active this time then why do we need, nawatukana matusi yote mnayoyajua na msiyoyajua, i I HATE WASALITI, I HATE YOU SO MUCHI thought ingekuwepo thread moja yenye matokeo ya nchi nzima. Hii ya mikoa yenyewe iko mingi si itasumbua sana?
bora ya yeye kuliko amosiIla nimefurahi kwamba kata ninayofanyia shughuli zangu kata ya Nyandila wilaya ya Mgeta Ukawa wamechukua ila zaidi ya hapo namuona Murad Sadiq Kurudi tena ubunge Mvomero. Sadiq ambaye mwanzoni alitawala kwa miaka 13 bila manufaa yoyote kwa wananchi. Mgeta hakuna barabara, huduma za afya wala elimu. Watu wanatembea km mpaka 20 kufuata huduma za kijamii. Nauli za magari ya abiria ni kubwa sana kwa sababu ya barabara. Ila waluguru wanamrudisha tena kutokana na ufinyu wa kufikiria kwao.
bora ya yeye kuliko amosi
Hahaha daaah..!!,Abood si mbunge bali mfadhili. Kikubwa anachofanya ni kuwapa laki 2 2 kina mama wanaoanzinzisha vicoba na bus la kwenda kuzikia kama mkifiwa. Zaidi ya hapo hospital haina madawa, mjini maji shida japo kuwa mkoa unavyanzo vya maji wanayokunywa wana Dar es Salaam.
Waluguru ni watu tofauti sana, wana akili fupi kama vimo vyao.
Ni jambo la ajabu sana kuwa hakuna anayetoa matukio kila mtu katishwa, hata Jamii forums tangu jana ni kituko kabisa na mimi najitoa, ni lazima vijana wengine waanzishe huduma hii, labda tukajaribu kwa Ayo kwa kuwa kina maxence tayari wameshahongwa, its very sad kwa blog ambayo tulii support hata wakati wanashughulikiwa na sserikali leo kwa vishilingi vidogo tu wametusaliti, yaani jamii forums for once hawana watu vituoni, na system yenyewe iko down throughout, if you could be active this time then why do we need, nawatukana matusi yote mnayoyajua na msiyoyajua, i I HATE WASALITI, I HATE YOU SO MUCH
Ni zaidi ya mtaji mkuu, yaani unaweza kuwapiga makofi ukiwa na hasira.
Kutokana hali ngumu walizokuwa nazo walipashwa kuwa watu wa kwanza kutaka mabiliko. Imagine wanalipa nauli shs 4500 kwa kama 35. Kwa distance hiyo dar nauli ni kama shs 800 tu. Ila kutokana na ubovu wa barabara inabidi walipe tu.
Hahaha daaah..!!,
Kama una ndugu huko sitisha misaada hadi wapate akili.
Kama una ndugu huko sitisha misaada hadi wapate akili.
Mkuu nimecheka hapo uliposema wana akili kama vimo vyao......Mkuu utadhani labda nna chuki binafsi nao au nini. Ila ukipata nafasi ya kwenda Moro waulize wakazi nini ambacho Abood kafanya??
Utasikia anasaidia kina Mama Vicoba, mkifiwa anawapa bus kwenda kuzikia na akipita jirani na kijiwe chenu mkimwita anasimama na kuwa elfu 5 5. Zaidi ya hapo hamna kitu.
Kidatu ipo Moro, ila moro haina umeme.
Udzungwa, wami na Ruvu mito yote hiyo vyanzo vyake viko moro ila Mji hauna maji hata tone. Sasa hapo utasema nini?