Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Mi niko Tuliani kata ya madizini na tayari nimeisha fanya yangu tatizo ambalo linanitatiza ni kutaka ufafanuzi kuhusu hili:
Mwenye haki ya kukunja kiratasi baada ya kupiga kura ni nani? Je ni Mimi mwenyewe au nakunjiwa na karani alienipa karatasi hizo??

Ni wew mwenyewe unaikunja na kuidondoshea kwenye kisanduka huyo karani kazi yake ni kukuelekeza tu pale unapokwama! and not therwise
 
Last edited by a moderator:
Nipo mikumi hapa CHADEMA profesa j anaongoza 96% ya kata zote na diwan wake mikum mjini ameongoza kwa kishindo yaan hapa tunapata moja mbili kujipongeza kutoka uteja wa ccm..
 
Hapa Morogoro mjini.Nimepitia

KituoVyamaUraisUbungeUdiwani/CUF
S/M KingoriACT021
CCM167189179
CHADEMA644453
KingoACT0013
CCM125148134
CHADEMA1058389
Ngoto A2ACT000
CCM8410679
CHADEMA623760
Ngoto A1ACT105
CCM708469
CHADEMA538149
TotalACT1219
CCM446527461
CHADEMA284245251
Total731774731
%ACT0%0%3%
%CCM61%68%63%
%CHADEMA39%32%34%
 
Nipo mbali but natumai waukae mtakuwa mmefanya kitu kwa maendeleo ya wote na vizazi vijavyo nimejisikia nipo home through hii thread.Big up wote kwa kutuwakilisha vyema
 
Twatwatwa upo Twatwatwa au? Ya Moro town si jamaa kaweka hapo juu na kata mbalimbali kwa ufupi?
 
Hapa Morogoro mjini.Nimepitia

KituoVyamaUraisUbungeUdiwani/CUF
S/M KingoriACT021
CCM167189179
CHADEMA644453
KingoACT0013
CCM125148134
CHADEMA1058389
Ngoto A2ACT000
CCM8410679
CHADEMA623760
Ngoto A1ACT105
CCM708469
CHADEMA538149
TotalACT1219
CCM446527461
CHADEMA284245251
Total731774731
%ACT0%0%3%
%CCM61%68%63%
%CHADEMA39%32%34%

Ungeyapanga vyema inge faa sana mkuu
 
Haya matokeo Kimla ni ya Mitaa tu, hayawezi kuleta picha yote ya Morogoro mjini, tungepata updates za sehemu zingine ingekuwa poa.
 
Last edited by a moderator:
Kata ya chamwino namuona mgombea wa ccm anashangilia hapa na familia yake ishara ya kuwa ameshinda.
 
Mbowe kawaingiza chaka makamamda kawadanyanya kafanya utafiti Lowassa atashinda wapiiii.
 
Back
Top Bottom