chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,289
- 25,680
Nakumiss ujue... Nakutafuta sana pande zileee!!!
nendeni PM.
Nakumiss ujue... Nakutafuta sana pande zileee!!!
Nakumiss ujue... Nakutafuta sana pande zileee!!!
ndo maana bunge lilitaka viroba vipigwe marufuku
Acha umbea ww fanya yako
Sent from my iPhone using JamiiForums.
duuuh prado imeenda kudeposit au kudraw?
wee jamaa wewe! nitakupiii!! nilikuwa na yangu pale bank anyway!
Hahaahahaha usiwaze mkuuuu
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Wakati tukio linatokea nilikuwa ndani ya benki, uzuri hakukuwa na watu wengi ndani ila wachache tuliokuwemo ilikuwa mshike mshike, ajali haina kinga
mambali vipi kuhusu swala la usalama kwa raia hapo?tukio hilo limetokea leo katika benki ya crdb morogoro mjini baada ya gari aina ya prado kuacha njia baada ya brake kushindwa kufanya kazi na kuvamia ukuta wa kioo wa benki hyo na kuingia hadi ndani
Angeingia hadi kwenye vault
hakuna majeruhi ya aina yoyote mbalu zaidi ya uharibifu mkubwa kwan wakati tukio linatokea kulikuwa hamna watu ndani zaidi ya wafanyakazi
hahahahahaaa.....ili atoke na mpunga, uongo?...kitu cha strong room..
ndo maana bunge lilitaka viroba vipigwe marufuku