Hiyo hapo, kuna mtu kasema ni gari la meneja wa tawi#Teamwekapicha wamesha wahi mleta uzi tiii kiu yao
Bima watalipa kotekote,,,
Ila siamini break ya Prado ilivyo tamu namna ile ishindwe kukamata hata uingie bank, hapo either mwendo au kiwango cha uendeshaji.