Morogoro: Gari lafeli breki na kuingia ndani ya benki

Morogoro: Gari lafeli breki na kuingia ndani ya benki

Acha uongo ajali imetokea SAA 8:20. am mteja gani anakuwa ndani ya bank mda huo???

Taarifa ya branch director umeiona??

Too low!!!

Acha kupaniki kaka...ni wapi kataja kuwa kulikuwa na wateja...kasema yy alikuwemo ndani na wachache walokuwemo...MEANING anaweza akawa anaongelea yeye na staff wenzie...au humo bank wanafanya kazi maroboti...na wanalipoti kazini saa 3....WACHACHE WALOKUWEPO....tafakari hiyo sentensi
 
Acha uongo ajali imetokea SAA 8:20. am mteja gani anakuwa ndani ya bank mda huo???

Taarifa ya branch director umeiona??

Too low!!!

Umekariri wote wanaokuwemo ndani ni wateja, pole!
 
Acha kupaniki kaka...ni wapi kataja kuwa kulikuwa na wateja...kasema yy alikuwemo ndani na wachache walokuwemo...MEANING anaweza akawa anaongelea yeye na staff wenzie...au humo bank wanafanya kazi maroboti...na wanalipoti kazini saa 3....WACHACHE WALOKUWEPO....tafakari hiyo sentensi

Aibu yake huyo, achana nae naona amekariri
 
Acha uongo ajali imetokea SAA 8:20. am mteja gani anakuwa ndani ya bank mda huo???

Taarifa ya branch director umeiona??

Too low!!!

Hivi huwa wanaitwa Branch Managers? Directors?
 
haa ilikuwaje maana napafamu pale benki kana bariers na msingi wa baraza uko juu, lkn pia akitokea wapi kwa kuwa hiyo packing haina mita mita kumi lazima uingie kwa kukata kona, pia kutokea barabarani lazima ukate kona ya 90 degrees ambayo hakuna zaidi ya mita 30. hiyo spidi ilikwaje!??? naiuliza ngoja niende nikashudie

Lugha za watu hizi jamani, si muandike Kiswahili tu? au na Kiswahili kinawapiga chenga?

Sasa "packing" inahusu nini?
 
tukio hilo limetokea leo katika benki ya crdb morogoro mjini baada ya gari aina ya prado kuacha njia baada ya brake kushindwa kufanya kazi na kuvamia ukuta wa kioo wa benki hyo na kuingia hadi ndani
hakuma aliyekufa hapo aisee..
 
Aisee hope haijajeruhi. Imeruka viunzi. Aise tuwe tunacheck break kila wakati. Hatari hii.
 
Back
Top Bottom