tukio hilo limetokea leo katika benki ya crdb morogoro mjini baada ya gari aina ya prado kuacha njia baada ya brake kushindwa kufanya kazi na kuvamia ukuta wa kioo wa benki hyo na kuingia hadi ndani
ndo maana bunge lilitaka viroba vipigwe marufuku
haa ilikuwaje maana napafamu pale benki kana bariers na msingi wa baraza uko juu, lkn pia akitokea wapi kwa kuwa hiyo packing haina mita mita kumi lazima uingie kwa kukata kona, pia kutokea barabarani lazima ukate kona ya 90 degrees ambayo hakuna zaidi ya mita 30. hiyo spidi ilikwaje!??? naiuliza ngoja niende nikashudie
Hali ilikuwaje humo ndani, poleni mlioathirika kwa namna moja au nyingine
Yawezekana dereva badala ya kukanyaga break yeye akakanyaga mafuta.
haa ilikuwaje maana napafamu pale benki kana bariers na msingi wa baraza uko juu, lkn pia akitokea wapi kwa kuwa hiyo packing haina mita mita kumi lazima uingie kwa kukata kona, pia kutokea barabarani lazima ukate kona ya 90 degrees ambayo hakuna zaidi ya mita 30. hiyo spidi ilikwaje!??? naiuliza ngoja niende nikashudie
Inatokeaga mkuu, akili inakutuma kwamba umekanyaga break kumbe unachochoea accelerator, ni nouma usiombe ikukute hiyo
Wakati tukio linatokea nilikuwa ndani ya benki, uzuri hakukuwa na watu wengi ndani ila wachache tuliokuwemo ilikuwa mshike mshike, ajali haina kinga