dakawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Basi la Happy nation 452 EDW limepata ajali Dakawa Mizani

    Dakawa mzani Basi la happy nation namba T 452 EDW limelala. Sababu ni mvua. Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana. Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama wanataka kuchomoa beteri🤣🤣 Tusubiri Polisi kwa habari zaidi.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbona bei ya mbolea inazidi kupanda kila siku huku Dakawa?

    Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro. Bei ya kawaida...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Picha: Ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, 'Land Cruiser' imeisha kabisa

    Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya. Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
  4. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Ualimu Dakawa toeni hela ya BTP

    Tunaomba mtupe hela ya kujikimu. Tunakufa njaa.
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Kata ya dakawa morogoro

    Habar wanajf Napenda kufahamishwa mazingira ya hii kata ya dakawa morogoro kiutafutaji. Napanga kuhamia hapo ila si mbaya nikapata machache km vile huduma za kijamii upatikanaji wake, Binafsi nina bajaji guta ambalo ni nyenzo ya uchumi nikiwa huko. Kwa mtu aleko dakawa au ana uzoefu si vibaya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukodishaji wa mashamba kwaajili ya kilimo Dakawa na bei zake

    Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa @whats app no 0629931610 Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na mim kwa namba hiyo juu
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
  9. molwe

    JamiiForums Tanzania Wakulima Dakawa-Morogoro wanasumbuliwa na wafugaji, nani wa kuwasaidiaa?

    Habari za leo wanajamvi!! Wakulima wa mpunga dakawa-Morogoro, Wana kilio!! Wafugaji wanaingiza mifugo mashambani kwa jeuri, wakulima hawana cha kufanya!! Ukikamata ng'ombe upeleke polisi, mwenyewe hatokei wanasubiri giza wanawaswaga na kuondoka nao. Kuna kipindi kwa ustaarabu kabisaa walikaa...
Back
Top Bottom