Morning Speech....!

Taja shule tufanye risechi.
Ukute ndio hizi za BM teh teh

unijua shule maarufu zamani waliita St. Andrews?kama huijui tumia google ikusaidie...maana ndo zenu watoto wa touch screen!..
 
unijua shule maarufu zamani waliita St. Andrews?kama huijui tumia google ikusaidie...maana ndo zenu watoto wa touch screen!..

Hatimae umetoa ushuhuda ulio kweli!
Karibu katika ulimwengu wa kaka zako tukuoneshe nini una misso!
 
kamanda vitakua lege lege mara ngapi?
Pita mjini utaona wadogo wanavaliana nguo na mabinti. Unashindwa hata kuchanganua
kama nu rizki ama sio rizki.
Hilo somo lingewafaa kabisa.

Hahahahahahaha.....na hivo kuna mswada wa kameruni, mbona itakuwa msiba?
 
Nilitoka kama Misosi please. No faza no maza. We want fire in magomeni which burns from tree to tree. When you do tick, it mweeees.

Sank yu furumai.
 
Kwa waliosoma Aga khan mzizima back then watakumbuka we used to read poems, make presentations about interesting matters... It was fun. Sio kuanza ku list types of government...daaah!
 
Kwa waliosoma Aga khan mzizima back then watakumbuka we used to read poems, make presentations about interesting matters... It was fun. Sio kuanza ku list types of government...daaah!

we si wakishua Amy!
 
braza eti ina maana gani...?si unakumbuka lakini tukio la mauaji nililofanya nikiwa darasa la pili??sitaki lijirudie...

Nilishakukataza hiyo R&B usiwe unaitajataja, kumbuka kabati la Manumba hua halijaagi ! Kwamba likijaa wanachoma nyaraka.
 
Back
Top Bottom