Morning Speech....!

kamanda enzi hizo ilikua kama uonevu. Kumbe ilikua inasaidia kupata watoto kakamavu wa kiume.
Wadogo siku hizi wanahasara kama anaweza walau kucheza mpira unashukuru bwana.

Siku hizi madogo wanashinda wanaangalia maseries tu....hakuna mpira wala kulima...lol
 
acha majigambo dogo. Hio shule ya Tz waliokua wanatoa morning spichi leo uwe menopoz ya kiume?

shule ya zamani braza...sema tu headmaster alikua anaona mbali na alikua anajidai mjerumani fulani...
kulima tulilima ila kwa msim...sasa wenzangu sijui mpaka kiangazi mlikua mnalima?
 
Siku hizi madogo wanashinda wanaangalia maseries tu....hakuna mpira wala kulima...lol

maseries yenyewe upuuzi kibao!
Wanaiga kila kitu, wakiona midume ina kiss basi
wadogo nao wanaiga. Shame shame shame
 
teh teh teh na wewe ni wale wale kamanda?
Huo msemo ulikuepo kabla hamjazaliwa kumaanisha student.

hahaha hapo Judgement angwewish u edit, uandike 'white-DENT' ndo tuone balaa lake lol
 
Utani gani huu ?
Kumwita member mwenzio "dawa ya meno?"

braza eti ina maana gani...?si unakumbuka lakini tukio la mauaji nililofanya nikiwa darasa la pili??sitaki lijirudie...
 
maseries yenyewe upuuzi kibao!
Wanaiga kila kitu, wakiona midume ina kiss basi
wadogo nao wanaiga. Shame shame shame

kuna mtt wa sista angu anakesha kwenye laptop...hadi asubuhi....anachosachi sikifahamu!...
 
shule ya zamani braza...sema tu headmaster alikua anaona mbali na alikua anajidai mjerumani fulani...
kulima tulilima ila kwa msim...sasa wenzangu sijui mpaka kiangazi mlikua mnalima?

Taja shule tufanye risechi.
Ukute ndio hizi za BM teh teh
 
hahaha hapo Judgement angwewish u edit, uandike 'white-DENT' ndo tuone balaa lake lol

umewaona wadogo?
Nimetoa somo la maana yake bado hawajaelewa.
Haya matatizo kabisa!
Wadogo bila chai ya maziwa wanagoma kwenda shule! Kuna matumaini hapo?
 
maseries yenyewe upuuzi kibao!
Wanaiga kila kitu, wakiona midume ina kiss basi
wadogo nao wanaiga. Shame shame shame

Ingekuwa ndani ya uwezo wangu, vitoto vyote chekechea hadi praimare vingepiga kombati na kwenda halaiki kujifunza ukakamavu...huku tuendako vitakuwa lege lege tu

tukishangaa ya kwaito tutayaona ya kiduku soon
 
hahahahahaa....michezo laini laini...na vyakula vyao vya makopo...huko kwenye kwata si itakua msiba kila siku!...
 
Ingekuwa ndani ya uwezo wangu, vitoto vyote chekechea hadi praimare vingepiga kombati na kwenda halaiki kujifunza ukakamavu...huku tuendako vitakuwa lege lege tu

tukishangaa ya kwaito tutayaona ya kiduku soon

kamanda vitakua lege lege mara ngapi?
Pita mjini utaona wadogo wanavaliana nguo na mabinti. Unashindwa hata kuchanganua
kama nu rizki ama sio rizki.
Hilo somo lingewafaa kabisa.
 
umewaona wadogo?
Nimetoa somo la maana yake bado hawajaelewa.
Haya matatizo kabisa!
Wadogo bila chai ya maziwa wanagoma kwenda shule! Kuna matumaini hapo?

umenikumbusha...BILA FANTAAA!..
 
Back
Top Bottom