Morgan Freeman Mistaken For Nelson Mandela On Billboard In India

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
This
billboard was put up in India, aimed at paying
tribute to Nelson Mandela, flopped when
passersby noted that it used a photo of
actor Morgan Freeman instead of the
late South African president.
Shame on them!

 

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,759
2,000
Morgan amefanana kweli na mandela...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,398
2,000
Wala hajafanana naye. Hao wana matatizo walioweka hilo tangazo.
 

BozoBozo

Member
Nov 22, 2013
28
0
Kama kufanana ni wote kuwa na mvi basi wamefanana. Tofauti na hivyo hakuna kufanana hapo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom