More than serious nahitaji mume wandugu

I'm very sorry na nashukuru kwa kunikosoa: Mimi ninamiaka 32 na ninayemuhitaji awe na umri wa kuanzia 33-43, hayo mengine ni mawazo yako tu na yote nashukuru maana nawewe umechangia.

Una miaka "33 - 43" ndio nini hicho, unaficha nini, au ni kibibi kimepigika?

Kama "mke mme mwema anatoka kwa Mungu," kwa nini unakuja kutafuta mume mitandaoni, kwani Mungu hajui kwamba unatafuta akushushie mume?

Kama unataka mtu wakuwa nae "kwa raha na tabu," kwa nini hutaki mtu mwenye tabu ya ukimwi? Kama hupendi mtu ambae hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake kwa sababu "kuna janga la ukimwi," vipi ambae anajua kujikinga na ukimwi lakini anapenda wanawake? Na ukimwi si una dawa?

Mchumba awe "walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela." Hueleweki, diploma ndio nini na "kabachela" ndio nini?

Awe ameajiriwa kwenye "shirika au serikalini." Vipi kama ana mahekari ya mashamba ya kahawa na ng'ombe wa maziwa na nyama na maduka ya kubadilisha hela ambayo sio "shirika"? Unajua unachokiandika?

Hutaki mtu anaetaka "kujaribisha," well, mtu una mvua 43 usawa huu, nitajuaje bado unashika mimba wewe kama sijajaribisha kwanza?

Wife advertisement yako haijaenda shule.
 
Nina miaka 31.
Inabidi nikuone nikuthaminishe kama unafaa.
Ukifaulu mtihani wa mwonekano utafuata wa kitandani.
Baada ya hapo ni mtihani wa tabia.
Ukifaulu mitihani hiyo utakuwa mke wangu.
Wasemaje.
OTIS.
 
Mume mwema hatafutwi ktk keyboard.

Dhana uliyonayo ni ya Mzee kama jina lako, nikupe mfano; Ninao marafiki wawili, mmoja alikutana na mke wake wa sasa Disco pale Moro hotel, wapo na wanamudu kwny ndoa ilyosheheni furaha. Mwingne alikutana na mchumba Kanisani baadae walioana lakn ndoa ile ilivunjika baada ya miaka 3.

Mahala popote yaweza yakawa ni makutano sahihi kikubwa ni dhamira ya dhati kwa wahitaji.
 
I'm very sorry na nashukuru kwa kunikosoa: Mimi ninamiaka 32 na ninayemuhitaji awe na umri wa kuanzia 33-43, hayo mengine ni mawazo yako tu na yote nashukuru maana nawewe umechangia.

asante jena, maana huyu Aus kakushupalia bila kusoma vizuri. Atakuwa mshabiki wa simba amechanganyikiwa
 
Unalipa?,mambo ya reception, front view, side na back view! Je we ni kabila Gani?, una muda gan umemjua Mungu? Nilitaka nikachukue wa R4M,sasa kumbe na huku mpo.kwa ujumla mim ninatafuta watu kama nyie,lakn mi nataka ndoa ya wake 2, mmoja hanitoshi. Je utaweza kuniruhusu kumleta Precious wa r4m?, Ngoja nikuPM sasa hv.
 
Nina miaka 31.
Inabidi nikuone nikuthaminishe kama unafaa.
Ukifaulu mtihani wa mwonekano utafuata wa kitandani.
Baada ya hapo ni mtihani wa tabia.
Ukifaulu mitihani hiyo utakuwa mke wangu.
Wasemaje.
OTIS.

kati ya yote muhimu ni tabia zaidi.
 
Dhana uliyonayo ni ya Mzee kama jina lako, nikupe mfano; Ninao marafiki wawili, mmoja alikutana na mke wake wa sasa Disco pale Moro hotel, wapo na wanamudu kwny ndoa ilyosheheni furaha. Mwingne alikutana na mchumba Kanisani baadae walioana lakn ndoa ile ilivunjika baada ya miaka 3.

Mahala popote yaweza yakawa ni makutano sahihi kikubwa ni dhamira ya dhati kwa wahitaji.

nadhani hakunielewa. Umejibu kitu tofauti kabisa.
 
Nakushauri uzidi kumuomba mungu. Usijeukamkubali kila anayekuja kwakuwa unatamani kuolewa.

Mungu anayajua mahitaji yako.
 
ni kweli una hofu ya mungu?kwa nini uchague aliyesoma?hujui elimu ya shule got nothing to do with ndoa?wee kabila gani'umbile lako?rangi yako?unapenda nini hupendi nini?
 
Umefanya vizuri sana kutushirikisha katika hilo. Kama hauna mchezo na hilo basi lina faida na hasara. Mume hatafutwi kwa vigezo vya kibinadamu kwa mtu wa Mungu. Sali tu, mwachie yeye akufanyie kazi hiyo kama umeamua kumtumia Mungu. Kuna waume wenye PHd, Masters, na Diplomsa na bado si bora kwa ndoa na kuna waume wa darasa la saba ambao ni wazuri kwa ndoa pia. Elekeza sala zako katika kupata mume bora atakayekupa raha katika maisha na yote mwachie Mungu. Mbona ndege wa angani wanakula na hawalimi? Katika imani kila jambo hutimia. Usikate tamaa utafanikiwa. Unaweza ku ni PM Ili nikushauri kwa mifano.
 
Jamani amesema yeye ana umri wa miaka 32 na hana mtoto na wala hajawahi kuolewa na pendekezo lake ni kwamba apate mchumba mwenye umri wa kati ya miaka 33-43 na sifa zingine zote alizozitaja yani elimu, ajira na hali ya ndoa
 
Mh! Nimesoma maelezo ya wadau. Hebu jaribu kuni PM nikupe ushauri ambao ki maadili nikiandika hapa itakuwa kama nakutukana. Kama uko serious fanya hima. Bwana akutangulie
 
Ngoja nisiandike nilichotaka kuweka, kwani we dada unaishi porini?? Yaani woote unaokutana nao hawana sifa?? Au wenyewe ndo wanakutosa?? Kwa nini..mi naona kama maigizo vile, we utakuwa kauzu sana au veeery anti-social.! Tueleze kwanza historia yako kwenye safari ya mapenzi, vingnevyo watu wata kuprivate msg for funny na kupoteza mda bure.!
 
Re: ADVERTISMENT

More than serious nahitaji mume wandugu

Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 32. Sijaolewa, sina mtoto na Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.Mwenye umri kuanzia 33-43.

Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.


Mimi ni muajiriwa katika shirika

Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.

Binafsi nashindwa kuelewa kama uko siriaz au wewe umeleta utani hapa, kama uko siriaz basi hujaipitia post yako kabla ya kuituma na kama umefanya utani basi hii post umeiweka sehem isiyostahili.
Dadangu ebu safiri kidogo na hizo red hapo juu...
Definition ya mke inategemea na mtu anae define what is mke so wewe ulitakiwa utuwekee definition hapa ili tuone kama tunafit in, umesema una miaka 32 now, good. Huu umri ndo mwanamke aliechelewa kupata mume kuhangaika kumtafuta, kipindi kile ukiwa kwenye peaks yaani 20 - 26 hukuwa na mchumba? au we ni mmoja wa wale wanaodengulia wanaume ktk umri flan then jua likuchwea ndo unashtuka?
Dada kama kweli unaamini kuwa mume mwema hutoka kwa Mungu ya nini umemuwekea masharti magumu huyo Mungu kuwa lazima akupatie mume msomi wa diploma na kabachela? na hapo sijaelewa mie eti!! Kwanini usimwombe tu Mungu akupatie mume regardless ana status gani so long atakupenda na ku adhere kwenye defition ya mke?

Nakutakia mafanikio mema...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom