More than serious nahitaji mume wandugu

Una miaka "33 - 43" ndio nini hicho, unaficha nini, au ni kibibi kimepigika?

Kama "mke mme mwema anatoka kwa Mungu," kwa nini unakuja kutafuta mume mitandaoni, kwani Mungu hajui kwamba unatafuta akushushie mume?

Kama unataka mtu wakuwa nae "kwa raha na tabu," kwa nini hutaki mtu mwenye tabu ya ukimwi? Kama hupendi mtu ambae hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake kwa sababu "kuna janga la ukimwi," vipi ambae anajua kujikinga na ukimwi lakini anapenda wanawake? Na ukimwi si una dawa?

Mchumba awe "walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela." Hueleweki, diploma ndio nini na "kabachela" ndio nini?

Awe ameajiriwa kwenye "shirika au serikalini." Vipi kama ana mahekari ya mashamba ya kahawa na ng'ombe wa maziwa na nyama na maduka ya kubadilisha hela ambayo sio "shirika"? Unajua unachokiandika?

Hutaki mtu anaetaka "kujaribisha," well, mtu una mvua 43 usawa huu, nitajuaje bado unashika mimba wewe kama sijajaribisha kwanza?

Wife advertisement yako haijaenda shule.
Tusiwe wa kukatisha tamaa , na chanzo cha changamoto
Wewe kwa akili yako ulishawai kusikia ukimwi una dawa .
Ktk umri ebu soma vizuri usikulupuke yeye anataka kijana wa umri 33-43 na si kwamba yeye ana umri kuanzia 33-43 .
Kama una binti ufunge sana na kuomba aolewe mapema . kiakili inasumbua sana .
Ktk Ukimwi ameonesha ukweli wake hata wewe hupendi ukimwi ,
Kuwa na wanawake wengi ukijikingia kifua unatumia kondomu ni kipimo tosha bado unamatamanio ya balehe
Sista aliomba ushauri ktk swala lake na si kumkejeli , ukimkeli mpe mwanga ktk kile ulichoona sahihi
 
Kwani ndoa ni elimu rafiki. Inawwzekana ndio maana hujaolewa hadi sasa. Mme hatoki shuleni anatoka kwa Mungu. Na hakikisha hivyo vigezo unavyo. Ila ushauri huku si mahali pake utafutia mme. Watajitokeza na wafiche makucha ili kukupata, akikupata anakunjua. Ingia magotini omba akupe mme
 
HIVI NINI KILINIPELEKEA KUOA MAPEMA ? GRIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII KUNA MABAHATI HUM MPAKA BAS
 
Re: ADVERTISMENT

More than serious nahitaji mume wandugu

Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 32. Sijaolewa, sina mtoto na Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.Mwenye umri kuanzia 33-43.

Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.

Mimi ni muajiriwa katika shirika

Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
Sisi tuliojiajiri kumbe hatuna chetu. Ahsante dada.
 
Wanawake buana... Miaka 32 bado machaguo kibao. Hivi kuna uhusiano gani kati ya ndoa na diploma? Yaan kama enterview ya kazi jamani. Haya wenye sifa tiririkeni fursa hiyo.
 
Mlikuaga na nyodo sana nyie tukiwa sekondari huko. Sasa umri umesogea mnazugia makanisa ya kilokole.
 
Wanawake buana... Miaka 32 bado machaguo kibao. Hivi kuna uhusiano gani kati ya ndoa na diploma? Yaan kama enterview ya kazi jamani. Haya wenye sifa tiririkeni fursa hiyo.
Hata angekuwa na miaka 52 bado anayo haki yakusema anacho kipenda, kiwango cha elimu ni muhimu kwake.
 
Anheuser
Blah, Blah , Blah...........................first of all she a lady looking for a man, which speaks volume where your ushauri lies...................ie Garb**e
Secondly either you are interested or not. If you are, do the needful and get intouch with the lady .If not, then save your advice for when and/or where it's needed. She is looking for a potential patner to be hubby and not your take on how to find one!!! Get it straight!!!!!!!!!!

Jena
All the best, Pole for invading your thread with my two cents, but Im sick and tired of these type of people , I just couldnt let it be

Ps
The same goes to all of you, mnaopendaga kuharibia watu nia zao za kupata wenza with your NEGATIVITY!!!!!
Spot on... Misery loves company he must be a very miserable person that's why all the negativity instead telling her the right approach yeye in blah blah nyingi
 
TaUnatoka nje ya mada. Wewe ndio mnakuwadiana na huyo mwingine, for all I know nyinyi wamoja katika kutafuta mume, ambacho sio jinai. Tatizo, tangazo lako limepinda mno, huwezi kusema una umri kati ya 33 na 43. That's a decade long gap! Demu wa miaka 33 na shangazi lenye 43 ni binadamu wawili tofauti. Taja una umri gani ijulikane kama bado unazalishika.
Dude read between the lines.. Anatafuta mume mwenye umri huo
 
Re: ADVERTISMENT

More than serious nahitaji mume wandugu

Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa miaka 32. Sijaolewa, sina mtoto na Ninatafuta/ Ninahitaji mume mwenye hekima, busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini. Pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie - kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu.Mwenye umri kuanzia 33-43.
Napenda awe Mkristo aliye na hofu ya Mungu ndani yake. Awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabachela hivi kwa umri huo. Awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi. Awe tayari kupima ukimwi zaidi ya mara 3. Awe muwazi.

Mimi ni muajiriwa katika shirika

Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
nlitaka nipitamo lakin naona kuna laana hapa....khaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom