Salma osman
Senior Member
- Feb 22, 2011
- 164
- 42
Pals pray God,there's eclipse of the moon.subhanaallah!
Embu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!Nimeona ...
its true ma dea jus go outside nd u wil cEmbu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!
Mh we Liiz inamaana unaogopa tu walau kutoka nje uka check!mwambie huyo wa pemben yako akusindikizeEmbu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!
Yani hujapiga picha kabisa?!dahhh kumesha kucha samahani itabidi usubiri miaka kadha hahahahahah lol
Embu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!
Sio naogopa ila huku kwetu watu wanavuta bangi mpaka moshi umegeuka mawingu...Mh we Liiz inamaana unaogopa tu walau kutoka nje uka check!mwambie huyo wa pemben yako akusindikize
Pole sana hamna hata polisi hapo karibu!km vp unatoka tu kama vile huoniSio naogopa ila huku kwetu watu wanavuta bangi mpaka moshi umegeuka mawingu...
Dah!hi ya kwako nayo uongo sasaView attachment 32074Picha hiyo hapo.More to come
Dah!hi ya kwako nayo uongo sasa
Mmh! Ushakua kauzu wewe teh!Embu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!
Mkuu nimeona, nimekumbuka geography yangu ya form one kitambo! Lunar eclipse mzuka sana km hauvui dagaa!aahh nimepata kwenye newspaper hii hapa ( rahaa zaidi kuona Live)[h=1]Lunar eclipse[/h] http://www.stuff.co.nz/national/4483527/Lunar-eclipse# The brilliance of a blood red moon during a full lunar eclipse was seen last night. The eclipse, where the moon turned red as its obscured by the Earth's shadow, began at about 8.50pm. By about 11.25pm the moon had resumed its full brightness. http://www.stuff.co.nz/national/4483527/Lunar-eclipse#http://www.stuff.co.nz/national/4483527/Lunar-eclipse#
du, moshi wa bangi, nimecheka san, mie jana niliona kwenye saa nne hivi, lakini sikukaa mpaka total eclipse , but was clear and interesting, and is is said to be the longest;Embu nitumie picha...huku UngaLTD moshi wa bangi umeziba anga!!