Moniccca anawaaga jamani

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Mambo!

Nawaandikia kuwaaga wana JF wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwezi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.

Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia

Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
 
Ngoja naendelea kutafuta kazi nzito inayobana watu kiasi kwamba hwapati muda walau wa kuingia JF even once per day....... Ngoja wakuage mm ntakuja baadae.... moniccca
 
Sasa Monicca Leo ulisema huwezi kuwa Na mtoko nikatategemea labda kesho, sasa kumbe unaaga!!
Sasa unatuachaje hivi hivi???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom