Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
Hii ni stori ya Monica wa Maganzo Shinyanga namna gani alijiingiza katika biashara ile.
Alizaliwa katika hospital ya Kolandoto mnamo mwaka 1983. Wazazi wake walikuwa ni wakulima. Baba yake mzee Magina alikuwa na wake wawili, Mama yake Monica akiwa mke wa pili.
Mzee Magina hakuwa na shida kihivyo maana pamoja kuwa mkulima alikuwa na biashara ndogo ndogo za kuuza vitu ndani ya mgodi wa mwadui. Kwahiyo Monica hakuwa na shida sana katika maisha yake tofauti na watu wengine kijijini pale.
Hakika ukimuna Monica huwezi amini kama kweli anaweza kujihusisha na biashara ile. Mtoto ameumbika mithili ya Sara wa kibinda, macho yake ya huwa, shingo imechongoka kama upanga wa mkata fito za kinyemberi. Sauti yake na mwendo wake hakika hutawenza kuamini. Sauti ya Monica ni ya vituo haina papara, kwa mara ya kwanza ukimuona utaridhia hakika mtoto huyu anafaa kuolewa.
Mnamo mwaka 1998 ndipo Monica alipojiunga na Sekondari ya Maswa Girls Sec School.
Huko ndiko sasa alipo anza kujifunza tabia tofauti tofauti.
Mwaka huo akiwa kidato cha kwanza alipata rafiki yake Mage mkazi wa sumbawanga. Walikuwa pamoja kila mmoja akielezea jinsi wanavyoishi nyumbani kwao.
Mage alimuomba Monica awaombe wazazi ili wakifunga shule waende Sumbawanga. Monica alikubali. Monica aliwaambia wazazi wake.
Fuatilia hii stori ya kusismua
Je Monica alipowaambia wazazi wake walisema na ilikuwaje usiikose kaa hapo hapo