Monica na gazeti!

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Mtoto Monica alitumwa kibandani na baba yake kumletea gazeti la tarehe kumi.
Aliporejea akasema; baba nimekosa gazeti la tarehe 10 ila nimeleta ya tarehe 5 mawili!
 
Kipanga wa hisabati huyo. Aendelezwe. Anyway, unaweza kutusaidia ana umri gani na anasoma darasa la ngapi? Itatusaidia kujua kama kweli ni kipanga au la maana mtoto wa darasa la 1 hadi la pili siku hizi alishajua tarehe, muda, wiki, mwezi na mwaka!!!! Pengine binti Monika ni chekechea wa baby class or middle class, maana pre-unit. Japo pre-unit wengine walishajua days, week, dates and months japo kwa kuimba!!! Mwingine angeweza kuleta any number from 1---9 and mix up with numbers 9----1 ili apate kumi kwani watoto bado wako whole numbers. Fraction bado!!!

Fundisho kwa wazazi. Je unapomtuma mtoto mdogo kufanya jambo fulani je unakuwa na hakika kuwa analifahamu??? Je baba huyo alijua kuwa mwanae ana ufahamu na tarehe?? Au ni wale wazazi ambao kazi la kumpa ufahamu mtoto walishaachia waalimu na dunia??? Si ajabu mtoto Monika alichapwa bakora kama member wetu alivyoshauri hapo juu!!!!! Hapo ni tatizo kama kweli hili jambo lilitokea.
 
Mtoto Monica alitumwa kibandani na baba yake kumletea gazeti la tarehe kumi.
Aliporejea akasema; baba nimekosa gazeti la tarehe 10 ila nimeleta ya tarehe 5 mawili!

Mh mzee una vituko wewe,haya bwana....Kaazi kwelikweli.Huyo mtoto aonekana ni mjuvi mno wa Hisabati,baba atakiwa amuendeleze ktk Hisabati
 
mhhh atleast she was kind enough not to come back empty handed .. good enough gazeti can be taken back je angenunua chakula .. angepata hasara kweli ..
 
mhhh atleast she was kind enough not to come back empty handed .. good enough gazeti can be taken back je angenunua chakula .. angepata hasara kweli ..

Her father is planning to take her abroad! Very kipanga!
 
Anajua Hisabati?! Terrible, unataka kuniambia alijumuisha akapata 10, kwahiyo tarehe iliyohitajika ikapitakana. This Monica must be a genious aka kipanga, maana kuelewa ku collerate issue namna ya Monica yahitaji ujuvi eti
 
Mtoto Monica alitumwa kibandani na baba yake kumletea gazeti la tarehe kumi.
Aliporejea akasema; baba nimekosa gazeti la tarehe 10 ila nimeleta ya tarehe 5 mawili!

hahahaha!
Holy Nuts!
 
Anajua Hisabati?! Terrible, unataka kuniambia alijumuisha akapata 10, kwahiyo tarehe iliyohitajika ikapitakana. This Monica must be a genious aka kipanga, maana kuelewa ku collerate issue namna ya Monica yahitaji ujuvi eti

Tena anauwezo mkubwa sana wa kufikiri. Unafikiri kama hakwenda kabisa na gazeti ingekuwaje!
 
Back
Top Bottom