Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,672
wengi wetu tumezaliwa familia ambazo wazazi wameanza kufanikiwa tukiwa Form 1...tuna utofauti mkubwa sana na watoto waliozaliwa wakazikuta tayari wazazi wao washatusua zao.
Ila Mzee Mengi yeye alizaliwa kwenye ufukara,tujifunze kwake