Money talks my friend

Money talks my friend

Dah! Jamaa alikuwa vizuri sana... mwendo kaumaliza isee... wengine hapa twajivuta vuta tu... hata vibandavyenyewe ni mtihani... Kwa maisha haya siwezi kumshukuru Mungu hata kidogo... haiwezekani wengine waishi hivyo wamshukuru na mimi niishi hivi nimshukuru hapana na haiwezekani
 
Kila mtu ana kipimo chake ndugu yangu usikate tamaa... Muda wako bado
 
🙄 🙄 haka ka msemo ka muda bado, huwa kanawapa watu hope alafu mwisho wa siku wanajikuta vile vile ... mie huwa sikubaliani nako naona kabisa nimechelewa, sasa ivi nilitakiwa nwe mbali sanaaa... ila ngoja nikaze mwendo... ili na mie niwe miongoni mwao walio ishi na kula raha hapa duniani aisee...
 
Muda bado lakini usibweteke pia
 
Acha kuchekesha watu Mshana bado tuna majonzi.
Nimeumia sana... Hayo mandhari baada ya miaka 3, ukifanikiwa kuyaona unaweza kulia
Huwa naangalia kwa uchungu sana makazi ya babu yangu marehemu, huo mjengo aliuziwa na mkoloni wa kijerumani... Mjengo wa maana hasa... Kijani na chanikiwiti kama chote.... Sasa hivi ukipaona... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Pole ndugu yangu kwa hilo. Nilikua namwambia mtu leo faida ya hiyo nyumba kwa familia ni kuigeuza eneo la biashara.
Nimeumia sana... Hayo mandhari baada ya miaka 3, ukifanikiwa kuyaona unaweza kulia
Huwa naangalia kwa uchungu sana makazi ya babu yangu marehemu, huo mjengo aliuziwa na mkoloni wa kijerumani... Mjengo wa maana hasa... Kijani na chanikiwiti kama chote.... Sasa hivi ukipaona... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Jitambue wewe ni nani na unataka kuwa nani maishani... Baada ya hapo pambana na kamwe usikate tamaa
✍✍✍... Mie ni mmbunifu na mshauri kwenye maswali ya kufanikisha jambo, ila sio mtendaji mzuri... na ninao washauri na kuwapa njia za kufanya hakuna alie fail au kushindwa kutusua...
 
Mshana Jr huyu marehemu sio pesa tu, kikubwa ana CLASS. Wapo wengi tu wanapesa ila wanajenga vitu vya ajabu vya gharama kubwa. Hio mandhari utafikri ni Swiss Alps sehemu ambazo kila mtu anaota akastaafu huko. Huu ukoo ni defination ya class hapa Bongo.
The art of living.... Live your dreams... And make them happen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom