2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,236
- 4,933
Hahahaaa unatamanisha wengine mzeeAisee huyu kylin kautumia uchi wake vizuri
Hahahaaa unatamanisha wengine mzeeAisee huyu kylin kautumia uchi wake vizuri
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ni ya kufuta
Hahahaaa unatamanisha wengine mzee
,,,[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan ww acha tuHii inaitwa Golden chance wengine wakitoa uchi wao kwa wazee wataishia kupata kaswende
Kufa ni kufa tuu....! Uzuri wa Mungu hapokei Rushwa wala kupokea bakhishishi.
wengi wetu tumezaliwa familia ambazo wazazi wameanza kufanikiwa tukiwa Form 1...tuna utofauti mkubwa sana na watoto waliozaliwa wakazikuta tayari wazazi wao washatusua zao.Acha kabisa ila ukiwa na pesa bila ulimbukeni ni raha sana, kinachotuponza sie ni ulimbukeni na kujisikia
😀 😀 😀 😀 😀Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
Hiiii nyumba bajeti ya LUKU tu nadhani ni kodi ya mtu fudenge ya miezi 6
nimecheka hadi machozi😂😂😂Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
sema huyu mzee anasiri kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila Babu bwana akaona akajenge kule ili akose hata majirani wakuomba chumvi..sawa tu Grand father ulituweza...Tunaendelea kujifunza hata SASA Kupitia ulivyoviacha.
fact!Mshana Jr huyu marehemu sio pesa tu, kikubwa ana CLASS. Wapo wengi tu wanapesa ila wanajenga vitu vya ajabu vya gharama kubwa. Hio mandhari utafikri ni Swiss Alps sehemu ambazo kila mtu anaota akastaafu huko. Huu ukoo ni defination ya class hapa Bongo.
😂 😂 😂Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*