Money talks my friend

Money talks my friend

Mshana Jr hivi huu mjengo ushawahi kuuona kwenye social Media yoyote kabla ya msiba wa Mzee?
1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k

Ilijengwa na contractor wa Israel.
 
Nimeumia sana... Hayo mandhari baada ya miaka 3, ukifanikiwa kuyaona unaweza kulia
Huwa naangalia kwa uchungu sana makazi ya babu yangu marehemu, huo mjengo aliuziwa na mkoloni wa kijerumani... Mjengo wa maana hasa... Kijani na chanikiwiti kama chote.... Sasa hivi ukipaona... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Cjui nin kwanini aisee ila mara nyingi kwa Sisi waafrika Mali za marehemu zinaaribika sana baada ya kufariki japo kwa Sisi pale kwa babu panazidi kunawiri kuliko alivyopaacha. Mungu amrehemu
 
1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k

Ilijengwa na contractor wa Israel.
Duh aiseee hatari wataweza kuitunza sasa jmn kwa vitu vilivyomo maana itakuja kuwa yaachalii badaye awo wadogo vp wataikuta ikiwa ivyo badaye
 
Nimeumia sana... Hayo mandhari baada ya miaka 3, ukifanikiwa kuyaona unaweza kulia
Huwa naangalia kwa uchungu sana makazi ya babu yangu marehemu, huo mjengo aliuziwa na mkoloni wa kijerumani... Mjengo wa maana hasa... Kijani na chanikiwiti kama chote.... Sasa hivi ukipaona... [emoji25][emoji25][emoji25][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Mkuu kila mtu akiondoka duniani wengi tunaondoka na vyetu. Ni wachache sana wanaweza kuthamini ambavyo hawakuvitafuta kwa jasho. Mfano hata humu kwenye JF wengine wanamshangaa Mzee Mengi kupiga mjengo kama huo kijijini. Yet wapo wachache kama mimi au mwingine ambao tunammini this house was the best idea ever!

This man had MONEY AND CLASS. Apumzike salama salimini popote alipoandaliwa na Muumba wake.
 
[emoji120][emoji123][emoji108][emoji123][emoji123][emoji123]
 
1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k

Ilijengwa na contractor wa Israel.

Hahahahaha…Lakini contractor Mu-Israel alitumia vibarua wa kibongo!
 
Mshana Jr hivi huu mjengo ushawahi kuuona kwenye social Media yoyote kabla ya msiba wa Mzee?
Mengi na Jack hawana tabia za zaribosslady, la sivyo tungeujua mjengo siku nyingi.
Alipofariki watu wakawa wanaonyesha jengo fulani jeupe huko machame ambalo tuliona kwenye msiba wa mke wa kwanza, ambao ni mzuri lakini si kama huu tumeonyeshwa ghafla toka jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom