Money ni nini kwa kiswahili?

Money ni nini kwa kiswahili?

Money ni kingereza, fedha asili yake ni kiarabu, hela ni kijerumani, pesa ni kireno. Shilingi na noti ni kingereza. Kwa kiswahili asilia money ni nini.

Umasikini wetu unaanzia hapo!

Na ukiona kwa kikabila chako mnatumia maneno kama hea na pesa ujue hamna asili nazo.
4895ad159ffcbea519c2a1494d398ac4.jpg
Anything that accepted as the medium of exchange
 
Pesa inatokana na peso. Spanish colonies kama Mexico mpaka leo currency yao ni peso. At one time Portugal ilikuwa chini ya Spain katika kipindi cha Iberian union. Phillip II of Spain alitawala Iberian peninsula yote ikiwemo Portugal.
 
Back
Top Bottom