Money Heist 4 ipo Netflix

Money Heist 4 ipo Netflix

Siwezi tena poteza muda kuitazama Money Heist. Nimeitazama season one nzima lakini sioni utamu wake, tena naenda kuifuta kwenye pc.
Nilikuwa naambiwa ukisogea mbele inakuwa nzuri lakini wapi sioni ubora wake. Tatizo wanaipa kiki sana mtu unakuja ukijua ni nzuri mno kumbe hata kwenye watch list yangu haifai kuwepo.
NiAmbie nikatizame series gani kali zaidi
 
Ki ukweli pb ni fire....japo sikuimalizaga ila watu wanaichalenj hii money heist coz kuna imposibilitynyingi sana zinawezekana kirahisi
(Huo ndo utofauti wake)
Pb umeangalia mpaka season ya ngapi?
 
Ok kwa wenye telegram huko kuna kila series unayoijua
N.b
money heist ishawekwa yote season 4 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

iTvShare Channel
 
Back
Top Bottom