Hapa nilipo naiangalia season ya 3 Michael scottfield yupo jela ile ambayo wafungwa ndo wanajiongoza wait wenyewe aisee Prison break weka mbali na watotoPB moto mwingine ule huwa sichoki kuirudia rudia.
Hapa nilipo naiangalia season ya 3 Michael scottfield yupo jela ile ambayo wafungwa ndo wanajiongoza wait wenyewe aisee Prison break weka mbali na watotoPB moto mwingine ule huwa sichoki kuirudia rudia.
Ni moja kati ya series mbaya kuwahi kuiona. Nimecheck S01 E1-5 nimejuta kupoteza muda wangu.Siwezi tena poteza muda kuitazama Money Heist. Nimeitazama season one nzima lakini sioni utamu wake, tena naenda kuifuta kwenye pc.
Nilikuwa naambiwa ukisogea mbele inakuwa nzuri lakini wapi sioni ubora wake. Tatizo wanaipa kiki sana mtu unakuja ukijua ni nzuri mno kumbe hata kwenye watch list yangu haifai kuwepo.
Daaah T-bad nikimchek tu nakumbuka 2006 naingia form nyoa kanta Boyz Kuna mwamba alikuwa cha 5 alikuwa kama T bad alitutesa mbwa uyo hatareIla T-bag au bagwell kwangu alikuwa ananifurahisha Sana na tabia yake ya ukatili.
Kwangu mm naona zipo kama game of throne 24 na breaking badHiv Kuna series yenye kiwango Kama Cha prison break?
Zote mbili ulizonitajia sizikubali kabisaKwangu mm naona zipo kama game of throne 24 na breaking bad
Zipi izo mzee 😁Zote mbili ulizonitajia sizikubali kabisa
If elexander Mahon ndio angekuwa anawatafuta hawa kina professor uchwara and his accomplice wote wangekamatwa ndani ya siku mbil tuuuu View attachment 1407786
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]miyeyusho sanaProfessor kila Jambo analopanga anafanikiwa hapo ndo umefanya uhondo upungue honest sijaipenda hii series
Game of thrones na breaking bad hiyo 24 nimeona episode 2 na sikupenda.Zipi izo mzee 😁
Kweli mzee nakwambia Mahon japo scoffield alikua na akil jamaa aliwezaje kung'amua tattoo zote za scoffield na atakuwa wap na wakat gan nambie detective kweny money heist anacheza na biti kama uyo mwamba
Duuu mzee umekosa mengiiiiii mno izo ngoma 3 ni moto wa radiiGame of thrones na breaking bad hiyo 24 nimeona episode 2 na sikupenda.
usifananishe professor na huo ujingaIf elexander Mahon ndio angekuwa anawatafuta hawa kina professor uchwara and his accomplice wote wangekamatwa ndani ya siku mbil tuuuu View attachment 1407786
noma uyo jamaaaIla T-bag au bagwell kwangu alikuwa ananifurahisha Sana na tabia yake ya ukatili.
watu smart pekee wanaielewa sio ya kuangaliwa na vilazaSiwezi tena poteza muda kuitazama Money Heist. Nimeitazama season one nzima lakini sioni utamu wake, tena naenda kuifuta kwenye pc.
Nilikuwa naambiwa ukisogea mbele inakuwa nzuri lakini wapi sioni ubora wake. Tatizo wanaipa kiki sana mtu unakuja ukijua ni nzuri mno kumbe hata kwenye watch list yangu haifai kuwepo.
Daaah mnai overrate hii ngoma mpak sio poa
Wala haiitaji IQ kuielewa hii ngoma Ata mtoto wa LA saba c anaelewa vizur zipo ngoma ni complicated mzee
kaangalie RAMBO ndio type yako ndio maana unajiita ivyo usernameDaaah mnai overrate hii ngoma mpak sio poa
Watu smart huwa hawajitangazi. Wanaojitangaza ni mashoga na wanaojiuza ili wapate wateja. Mtu smart anajitangaza ili iweje?
😁😁😁Sawa mtu smart umeshinda
Mtu anaangalia Money Heist akitoka anajiita smart. Yani usmart wake anaupima kwa kutazama movie tena yenyewe ni hii ambayo hata watoto wa shule ya msingi nawawekea wanatazama na wanaijua mtiririko.Wala haiitaji IQ kuielewa hii ngoma Ata mtoto wa LA saba c anaelewa vizur zipo ngoma ni complicated mzee