Money Heist 4 ipo Netflix

Money Heist 4 ipo Netflix

Mtu anaangalia Money Heist akitoka anajiita smart. Yani usmart wake anaupima kwa kutazama movie tena yenyewe ni hii ambayo hata watoto wa shule ya msingi nawawekea wanatazama na wanaijua mtiririko.
Shule muhimu sana.
Ipi ambayo ukiingalia unaona kweli umeangalia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anaangalia Money Heist akitoka anajiita smart. Yani usmart wake anaupima kwa kutazama movie tena yenyewe ni hii ambayo hata watoto wa shule ya msingi nawawekea wanatazama na wanaijua mtiririko.
Shule muhimu sana.
😂😂😂Anajiita smart kwa kuona money heist kazi kwel kwel
 
Sijawahi kuipenda 24 yaani hata kidogo

Game of throne ni kali ni moja ya Series ambayo nayo huwa nairudia rudia.
daaa mkuu kama unapenda series za kiintelijensia bac hakuna ya kugusa 24 Anza nayo season 3
 
Japo siifuatilii ila naweza kukupa link kama upo telegram
Screenshot_2020-04-04-21-42-51.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu waga wananiuzi humu kuifananisha na pb money heist ni nzuri sana lakini sio kwa Kiki iyo pewa vip alie ona season 4 atupe ronja kidogo
Nairobi alikuja kuuliwa na gandia(mlimzi wa gavana
Lisbon(raqel kaokolewa na karudi kwenye bank
Yule polisi mwenye mimba alimtocha rio masiri yamefichuka na uozo kibao anatakiwa kujiuzulu....akqenda kwenye press akaichoma hadi serikali kwamba ndo iliizinisha mateso...then katoroka kwenda kumtafuta profesa yeye mwenyewe na mwishoe kampata ndo imeishia hapo
 
una telegram?
kama unayo telegram nenda sehemu ya search then andika money heist season 4 itakuja,ukishindwa njoo dm
Tayari jerry baada ya kuipata sijarejea tena humu hadi nimeimaliza
.
Kama umeiangalia nina swali mpja
Kwanini berlin alimuua that fat guy pale kwenye hotel chooni
 
Back
Top Bottom