zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
- Thread starter
- #61
Profit in that sense I meant life time relationship and a happy marriageIt depends on how you define profit
Profit in that sense I meant life time relationship and a happy marriageIt depends on how you define profit
Well not everybody wants that thoughProfit in that sense I meant life time relationship and a happy marriage
So u mean now days people want love for fun and not for life making purpeses?!Well not everybody wants that though
So u mean now days people want love for fun and not for life making purposes!
Yap! Plenty of people prefer that these days believe meSo u mean now days people want love for fun and not for life making purpeses?!
Anakwambia baby nimekumis.
We unajibu eti me too.
Acha kuzubaa tuma nauli aje..
Asisahau na ya kutolea
Money cant buy love, but poverty cant buy anythingKumekuwa na mitazamo kadhaa wa kadhaa kwa sasa katika jamii kuhusu mahusiano na wengi wamekuwa wakisema pesa Ina nguvu Sana katika mapenzi.
Wengi wanaamini kuwa pasipo kuwa na Pesa kwa sasa huwezi kuyafurahia mapenzi utakuwa Kama mwizi aliyeiba naye akaibiwa kariakoo.
Bila Pesa utasikia wanasema huwezi pata mpenzi la hasha. Hata ukimpata mpenzi mapenzi yenu hayawezi dumu ni Kama kujisumbua
Wanawake wa sasa ni Pesa tu. Piga kazi utafute pesa upate penzi ufurahie lakini imani yangu ni kuwa mapenzi ni hisia za kweli kwa mwenza. Pesa inaweza kuwa kigezo cha kupata penzi.
Halafu nashangaaga mkiombwa hela mnasimanga sana
Mpaka upate hisia za mwanamke katika dunia ya leo, Lazima u boost na pesa ,coz wanawake by nature n selfish na wamejawa na tamaa Sana, kila kitu kizuri wanataka,outing sehemu nzuri, kusuka, shopping, vizawadi zawadi vya hapa na pale, attention yako kwake,so atataka umuonyeshe unampenda kila saa ,kila siku, sio kwa maneno mazuri tuu, na vitendo pia, hapo kwenye vitendo ndo pesa lazima ikitoke, coz ukizubaa Kuna wenzako nao wanamfukuzia na wanatoa pesa au kumnunulia vitu vya gharama, so Wala tusizunguke Sana, Bila pesa mapenzi hayawezi kudumu,Kumekuwa na mitazamo kadhaa wa kadhaa kwa sasa katika jamii kuhusu mahusiano na wengi wamekuwa wakisema pesa Ina nguvu Sana katika mapenzi.
Wengi wanaamini kuwa pasipo kuwa na Pesa kwa sasa huwezi kuyafurahia mapenzi utakuwa Kama mwizi aliyeiba naye akaibiwa kariakoo.
Bila Pesa utasikia wanasema huwezi pata mpenzi la hasha. Hata ukimpata mpenzi mapenzi yenu hayawezi dumu ni Kama kujisumbua
Wanawake wa sasa ni Pesa tu. Piga kazi utafute pesa upate penzi ufurahie lakini imani yangu ni kuwa mapenzi ni hisia za kweli kwa mwenza. Pesa inaweza kuwa kigezo cha kupata penzi.
Yanakua yamesinyaa mnoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu pesa ni connection ya mahusiano, kwa hiyo ukitaambua umuhimu wa kiunganishi lazima ukiheshimu na kutambua umuhimu wake,
Pia bila pesa mapenzi bado yapo ila yanakuwa hayana afya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo matatu ya kumfanya mwanamke akupende zaidi
1. MPE PESA
2.MWONGEZE PESA
3.MWONGEZE TENA PESA AISEE...
Naam yanasinyaa na kufubaa kabisaYanakua yamesinyaa mnoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We zubaa tuu na hayo mawazo yakoIla Bakhresa ana mke mmoja tu dah![emoji23]
Even Bill Gates the same story[emoji4]
This very true Mkuu, una upeo mkubwa Sana kakaKwa uzoefu wangu watu wengi wanapokuwa katika mahusiano mapya na wanawake wapya hujiona wapo sehemu Salama kwani haoni dalili za kupigwa mizinga kuombwa hela hivyo hujiaminisha hakuna mapenzi ya pesa
Lakini naomba niseme jambo hili hakuna Kiumbe anaetumia akiri ndani ya mahusiano kama mwanamke na akiri ya mwanamke ndani ya mahusiano yeye hutumia kukusoma Tabia, mienendo yako na kiuchumi uko vipi .
Akiona mtu mwenyewe hoe haee tegemea kubreak up nae siku akikutana na mtu ambae ni bora kuliko wewe tegemea kuachwa tuu broo kwa visa vituko na vitimbwiiii
hayo n matumiz mabaya ya viungo mwilinIla Bakhresa ana mke mmoja tu dah![emoji23]
Even Bill Gates the same story[emoji4]
Na ndo maana wenye akili wanatoa hela kwa taadhari coz unakuta unahudumia lakini bado analiwa njeSijawahii mkosa mwanamke yoyote anayependa hela yanii hata aweje!!pesa inaongea kuliko chichote
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kabisa wanawake hawaeleweki kabisa ukihudumia sana anasema fala nimelipata hapa kwangu apinduiNa ndo maana wenye akili wanatoa hela kwa taadhari coz unakuta unahudumia lakini bado analiwa nje
Yeah, Yan Hakuna kitu utamfanyia mwanamke aridhike kwa [emoji817] ,Kabisa wanawake hawaeleweki kabisa ukihudumia sana anasema fala nimelipata hapa kwangu apindui
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app